Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Zimeimarika sana na kua za kistaarabu.
Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press conference za matamko, kutafuta tension na public sympathy n.k.
Upinzani sasa wanafanya kazi zao za kisiasa kwa utulivu na amani ya kiwango cha juu sana kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.
Hata wanachadema sasa wamepumzika kulazimishwa kuchangishwa pesa na kuombwaombwa kuwchangia pesa za pocket money vibaka na matapeli wa kisiasa ambao ni viongozi walioshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchmi kwa uvivu wao, halafu eti kwa unafiki wa kiwango cha juu sana wanawahadaa wananchi eti wanakusudia kuwakomboa kisiasa.
hivi ndugu mdau,
inawezekanaje mtu ameshindwa kujikomboa yeye mwenyewe na familia yake kiuchmi, kisha aweze kuwakomboa wengine kisiasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania