Baada ya kusambaratika kwa CHADEMA, siasa za upinzani nchini zimebadlika

Kujitekenya na kucheka mwenyewe kuna kupa raha gani wewe Tlaatlaah ?

Mtu mzima ukijitoa ufahamu haipendezi......
ni muhim kuchangia mjadala bila kuweweseka, na ikiwa huna hoja, unaweza kukaa kimya tu na kujifunza kwa wadau wengine wa JF wenye point,

sawa gentleman?šŸ’
 
Zimeimarika sana na kua za kistaarabu.
Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press conference za matamko, kutafuta tension na public sympathy n.k.
Upinzani sasa wanafanya kazi zao za kisiasa kwa utulivu na amani ya kiwango cha juu sana kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Hata wanachadema sasa wamepumzika kulazimishwa kuchangishwa pesa na kuombwaombwa kuwchangia pesa za pocket money vibaka na matapeli wa kisiasa ambao ni viongozi walioshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchmi kwa uvivu wao, halafu eti kwa unafiki wa kiwango cha juu sana wanawahadaa wananchi eti wanakusudia kuwakomboa kisiasa.

hivi ndugu mdau,
inawezekanaje mtu ameshindwa kujikomboa yeye mwenyewe na familia yake kiuchmi, kisha aweze kuwakomboa wengine kisiasa?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania

Upinzani umehamia ndani ya Chama chetu. Tena ni mkubwa kuliko hata ule wa CDM.

Kazi sana
 
kwa uimara wa mifumo ya kudhibiti mluki CCM, hao wapinzani watajiengue wenyewe tu moja moja bila kua na athari zozote kwa chama, nadhani unashuhudia walioanza kuweweseka na kutimua mbio bila kutimuliwa gentleman šŸ’
 
Hizi ndio FALSAFA za CHADEMA. Dawa yake ni kuwaelimisha. Elimu ya uraia inaendelea kwa ajili yenu.
Mlikuwa mnapiga picha shule bila madawati, sasa hivi mmeelewa kuwa hiyo siasa haina mashiko teka. Tutaelewana tu.
wakilemewaga na hoja hupendelea kuropoka na kujaribu kuhitimisha mjadala kwa mihemko nonsense kabisaa hao jamaa šŸ’
 
Unateseka ukiwa wapi? Mshamalizana na Polepole huko?
 
ni muhim kuchangia mjadala bila kuweweseka, na ikiwa huna hoja, unaweza kukaa kimya tu na kujifunza kwa wadau wengine wa JF wenye point,

sawa gentleman?šŸ’
Mkuu hunaga hoja ni blaablaa tu
 
kwa uimara wa mifumo ya kudhibiti mluki CCM, hao wapinzani watajiengue wenyewe tu moja moja bila kua na athari zozote kwa chama, nadhani unashuhudia walioanza kuweweseka na kutimua mbio bila kutimuliwa gentleman šŸ’
Mpaka kitu kizame ndio tutakubali tumezama šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
 
Zimeimarika sana na kua za kistaarabu.
Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press conference za matamko, kutafuta tension na public sympathy n.k.
Upinzani sasa wanafanya kazi zao za kisiasa kwa utulivu na amani ya kiwango cha juu sana kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Hata wanachadema sasa wamepumzika kulazimishwa kuchangishwa pesa na kuombwaombwa kuwchangia pesa za pocket money vibaka na matapeli wa kisiasa ambao ni viongozi walioshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchmi kwa uvivu wao, halafu eti kwa unafiki wa kiwango cha juu sana wanawahadaa wananchi eti wanakusudia kuwakomboa kisiasa.

hivi ndugu mdau,
inawezekanaje mtu ameshindwa kujikomboa yeye mwenyewe na familia yake kiuchmi, kisha aweze kuwakomboa wengine kisiasa?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Chadema imesambaratika kivipi?
 
Ila una moyo mgumu sana. Yaani kila mtu anakudharau lakini bado unapost ujinga. Hongera sana
 
Zimeimarika sana na kua za kistaarabu.
Hakuna tena uropokaji unakiuka sheria, hakuna tena mikutano ya hadhara ya fujo na matusi, hakuna tena mfululizo wa mikutano ya kamati kuu Chadema na press conference za matamko, kutafuta tension na public sympathy n.k.
Upinzani sasa wanafanya kazi zao za kisiasa kwa utulivu na amani ya kiwango cha juu sana kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025.

Hata wanachadema sasa wamepumzika kulazimishwa kuchangishwa pesa na kuombwaombwa kuwchangia pesa za pocket money vibaka na matapeli wa kisiasa ambao ni viongozi walioshindwa kabisa kujikomboa wao wenyewe kiuchmi kwa uvivu wao, halafu eti kwa unafiki wa kiwango cha juu sana wanawahadaa wananchi eti wanakusudia kuwakomboa kisiasa.

hivi ndugu mdau,
inawezekanaje mtu ameshindwa kujikomboa yeye mwenyewe na familia yake kiuchmi, kisha aweze kuwakomboa wengine kisiasa?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
kiongozi wa fujo kathibitiwa, sasa tunataka siasa saf za upinzan tunataka kuskia mtu akisema akichaguliwa elimu itakua bure mpaka chuo kikuu sio kelele, mtu kama mbowe alikua na siasa saf kabisa ila ndo ivo wanataka mtu mwenye fujo
 
Aida Kenani ni mwanachama wa CDM kimakosa tu. Ukiangalia falsafa yake ni mbali na chadema, ndio maana alipochaguliwa kuwa mbunge hakuwasikiliza kamati kuu yao waliosema hawalitambui Bunge wala Rais wa JMT.
Akaingia bungeni na hakuna aliyeweza kufungua mdomo kati ya wanachadema.
Mbona nae ashiriki uchafuzi?
 
Mkuu niombe msamaha kwa kumaliza bando langu
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
CDM ni mpango wa Mungu bro take care.
Ni mkombozi wa Taifa hili dhidi ya udhalimu wa mtu mweusi.
kuombaomba kuchangiwa pesa za pocket money na kitapeli wananchi haijawahi kua ni mpango wa Mungu gentleman.
Utapeli wa tone tone kidigitali na ule wa tone tone kwenye kibakuli ni mipango ya kishirikina ya muovu shetani šŸ’
 
Haijawahi kuwa mpango wa Mungu watu kutekwa na kuuwawa kwenye nchi yao wenyewe Gentlemen. CCM ni mpango wa shetani na ndo maana mambo yanayofanyika kupitia serikali yake ni ya kishetani
Kuua
Kuteka
Kufira
Kubaka
Kubambikia wapinzani kesi za mchongo
Kuuza rasilimali za nchi huku wananchi wakiogelea kwenye umaskini, nk
Haya yote na mengine hufanya na watu wenye roho za kishetani. Na ndo hao wanaong'ang'ania madaraka kama vile wana hati miliki ya hii nchi.
 
Back
Top Bottom