Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
Gentleman,Ila una moyo mgumu sana. Yaani kila mtu anakudharau lakini bado unapost ujinga. Hongera sana
hivi mtu makini kama mimi naweza kubabaishwa na dharau nonsense za mdau yeyote wa JF kweli ukinitazama kwa makini?
Wajibu wangu kwa Taifa ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu bila kujali mihemko au makasiriko ya mdau yeyote wa JF, that's the point 🐒