Baada ya kusambaratika kwa CHADEMA, siasa za upinzani nchini zimebadlika

Ila una moyo mgumu sana. Yaani kila mtu anakudharau lakini bado unapost ujinga. Hongera sana
Gentleman,
hivi mtu makini kama mimi naweza kubabaishwa na dharau nonsense za mdau yeyote wa JF kweli ukinitazama kwa makini?

Wajibu wangu kwa Taifa ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu bila kujali mihemko au makasiriko ya mdau yeyote wa JF, that's the point πŸ’
 
Huna umakini wowote zaidi ya porojo na propaganda tu
 
hizo ni drama na porojo za magenge ya vibaka na matapeli ya kiasiasa yalipoteza uelekeo, na daima hukataliwa na kukimbiwa hata na wafuasi wao kwa kuendekeza uzushi na uongo kama huo πŸ’
 
ni muhim kuchangia mjadala bila kuweweseka, na ikiwa huna hoja, unaweza kukaa kimya tu na kujifunza kwa wadau wengine wa JF wenye point,

sawa gentleman?πŸ’
Ikisambaratika itakuwa vzuri kwa usalma wa vijana wa kitanzania waliokuwa hatarini kwa kuwa wanachama wa cdm.
 
Nina amini uko makini mkuu tena sana.
Maana kuna askari makini.
Madaktari makin.
Wahandisi makin.
Wezi makini.
Vibaka makini.
Kiufupi kila mtu anayefanya kazi yoyote iwe mbaya au nzuri atafanikiwa akiwa makini kazi yake. Kwahyo upewe maua yako mkuu.
 
Wewe ni point gani uliyoiongea, kama una point jibu hoja acha kuweweseka.
pointi ni kwamba,
kirusi kilichokua kinauchafua upinzani kimeshasambaratika na kufa,

vyama vya upinzani nchini hivi sasa wanafanya kazi zao za siasa kistaarabu zaidi, kwa uhuru na uwazi zaidi.
hakuna matusi wala uropokaji tena sasa baada ya chadema kusambaratika
 
Nina amini uko makini mkuu tena sana.
Maana kuna askari makini.
Madaktari makin.
Wahandisi makin.
Wezi makini.
Vibaka makini.
Kiufupi kila mtu anayefanya kazi yoyote iwe mbaya au nzuri atafanikiwa akiwa makini kazi yake. Kwahyo upewe maua yako mkuu.
kazi na utu, tusonge mbele
 
huu ndo mnaita mpango wa Mungu

View: https://www.youtube.com/watch?v=c0L-YugphcE&pp=ygUUc2xhYSBjaGFkZW1hIHV0ZWthamk%3D
 
Ikisambaratika itakuwa vzuri kwa usalma wa vijana wa kitanzania waliokuwa hatarini kwa kuwa wanachama wa cdm.
vijana waliharibika mno kwa kua na mihemko isiyo na tija dhidi ya wenye maoni au mawazo tofauti na yao,
na walipotoshwa na viongozi wao na kuona kwamba eti kuporomosha matusi ndio ujasiri na conclusion ya mijadala.
 
Hebu fafanua, hicho kirusi kinachafuaje upinzani? Kudai reforms?
 
 
Cdm hashiriki uchaguzi lakini anavyoandamwa πŸ˜„

Ova
 
Sasa mkuu tunatakiwa kutafakari pia kuhusu kirusi kinacholitafuna taifa. Maana hicho ndo kibaya kuliko kirusi kinachokula vituvilivyo njen ya mfumo.
 
uchaguzi mkuu wa Tanzania ni oct.29.2025,
huenda Dr.Samia Suluhu Hassana akashinda uchaguzi huo wa kihistoria kama mwanamke wa kwanza Tanzania anaekubalika zaidia na wananchi wa Tanzania, Africa Masharikai na Africa kwa ujumla kwa zaidi ya 90%.
 
Sasa mkuu tunatakiwa kutafakari pia kuhusu kirusi kinacholitafuna taifa. Maana hicho ndo kibaya kuliko kirusi kinachokula vituvilivyo njen ya mfumo.
Tukimaliza uchaguzi mkuu oct.29.2025,
mambo mengine yote yanayoonekana kua changamoto yatakua resolved immediately
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…