Baada ya kusambaratika kwa CHADEMA, siasa za upinzani nchini zimebadlika

uchaguzi mkuu wa Tanzania ni oct.29.2025,
huenda Dr.Samia Suluhu Hassana akashinda uchaguzi huo wa kihistoria kama mwanamke wa kwanza Tanzania anaekubalika zaidia na wananchi wa Tanzania, Africa Masharikai na Africa kwa ujumla kwa zaidi ya 90%.
Alishashinda tangu 19 January alipojipitisha kibabe kuwa mgombea wa ccm! Ila taarifa za kuchukiwa msipuuze, ni tunamchukia kweli kweli! Unaweza kuwa hupendwi na watu bado ukawa rais ila haibadilishi ukweli anchukiwa kuliko mtu yeyote ndani ya nchi hii! Ishi nalo hilo.
 
Napenda chaumma inavyofanya siasa zake hata kama wanaohudhuria ni wachache .Nawatakia kila la heri kuiondoa CCM
 
Chadema ni matapeli
 
It is a profound truth that no human can ever truly lie to his own soul... unaweza ukaweka na gentleman kwenye hii pwenti..
 


Tanzania hakuna upinzani

Ila kuna watu ambao wanajifanya wapinzani ili tu mambo yao ya maisha yaende vizuri

So ccm hashindani na wapinzani ila anashindana na watu wenye tamaa ya ela
 
Tanzania hakuna upinzani

Ila kuna watu ambao wanajifanya wapinzani ili tu mambo yao ya maisha yaende vizuri

So ccm hashindani na wapinzani ila anashindana na watu wenye tamaa ya ela
Upinzani ulikufa 1962,,,, huu ulikuwa upinzani halisi ambao usingejihusisha na hili genge la wahuni...
 
Huu ndio ukweli.Umewafunguwa macho na masikio wengi.Mungu akubariki.Ameshindwa kujikombowa yeye mtu mmoja,ataweza kuwakombowa watu 60 milioni?Akili kweli ni mali.
 
Unajielewa kweli wewe mtu?
 
Chadema imekufa lkn haikutoki mdomoni we mjana wa mume wako Chadema
Hebu tuliza komwe na usubiri unusuriwe na mume mwingine
 
Baada ya ccm kusambaratika,siasa za kizalendo zimerejea nchini!Alaaa
 
Upinzani gani?

Kwa sasa hakuna upinzani Tanzania, kuna chama tawala tu na matawi yake.

Mbona mnalazimisha ionekane kuna upinzani, kwani mkisema tu Tanzania ni nchi ya chama kimoja kuna shida gani?
 
Hizi ndio siasa za maji taka sasa,, mjinga mmoja anafurahia kutokuwepo kwa upinzani imara Ili hali umuhimu wake anaujua....
 


Ndoto za mchana subiri Mama uone yatakayo tokea
 
Ndiyo maana nasema una moyo mkuu. Mimi hata kama nalipwa zaidi ya hayo malipo yako lakini siwezi kujivua akili kiasi hiki. Naamini bila hata ya hiyo buku7 bado utaishi tu na maisha ya heshima kuliko haya uliyoyachagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…