Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 7,837 Reaction score 14,198 Sep 9, 2021 #21 Kuna siku Tunu alimbana alimuuliza kuwa ina maana yale uliyokuwa unaongea ulipokuwa simba kama ni maneno tu, tutaamini vipi haya unayoongea leo? na haya ni maneno tu? alichojibu unafikiri kilieleweka basi! alijambajamba tu.
Kuna siku Tunu alimbana alimuuliza kuwa ina maana yale uliyokuwa unaongea ulipokuwa simba kama ni maneno tu, tutaamini vipi haya unayoongea leo? na haya ni maneno tu? alichojibu unafikiri kilieleweka basi! alijambajamba tu.
W wazunguwawili JF-Expert Member Joined May 29, 2019 Posts 3,984 Reaction score 4,132 Sep 9, 2021 #22 Anawadharirisha sana watu wa jamii yake. Unaweza anza kumtafakari mtu wa namna ile na kumtosa ukidhani anaweza kuwa manara.
Anawadharirisha sana watu wa jamii yake. Unaweza anza kumtafakari mtu wa namna ile na kumtosa ukidhani anaweza kuwa manara.
M mullo gabriel Member Joined Aug 3, 2021 Posts 70 Reaction score 76 Sep 9, 2021 #23 kwanini unaonya asiizungumzie simba, kumbe mnamgwaya ivo