Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

viny one

Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
30
Reaction score
9
Nilisex na msichana kwa muda mfupi tu mida ya jioni cha kushangaza nilipoamka alifajiri kesho yake nilijihisi mchovu kweli na mbavu zinauma

Hali hii ilichukua siku mbili tu baada ya hapo nikaendelea vizuri ajabu baada ya wiki nahisi mwili unaniwasha hivi na kama nahisi vitu vinanichoma kama vile mbu amening'ata sasa nimeenda kupima nikaambiwa nina malaria na UTI nimeanza dozi lakini bado nina wasiwasi kama inaweza kuwa ni tatizo jingine

Naomba mwenye uelewa na aya mambo anieleweshe vizuri jamani!! Kama linaweza kuwa tatizo jingine
 
Nd
je ilikuwa ndio mara yako ya kwanza ku sex na huyo msichana na je ulitumia kinga na je ulipiga bao ngapi umri wako pia tuanzie hapo nikusaidie[/QUO

Yeah ndo ilikuwa mara ya kwanza na niliishia goli moja tu...umri ni 23yrs
 
Mmh pole why hukutumia kinga?[emoji1]
 
Pole
 
je ilikuwa ndio mara yako ya kwanza ku sex na huyo msichana na je ulitumia kinga na je ulipiga bao ngapi umri wako pia tuanzie hapo nikusaidie
Ndio ilikuwa mara ya kwanza..niliishia goli moja.. Umri 23yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…