Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

Sorry mkuu kwa kuchelewa kukujibu naomba unijibu swali la mwisho

Je ID yako ya siku zote ni ipi? achana na hii mpya

ukijibi hili naku pm namba zangu uje hapa kairuki
yeah hii ndo ID yangu ya cku zote..ila nipo mza mkuu
 
Ahsante kwa ushauri
 
dah , nyege mbaya sana , yaani umerisk kuukwaa UKIMWI kwa kupizi?
 
Sante kwa ushauri
 
nawashwa sana sana mikononi kwenye kiwiko pamoja na miguuni karibu na ugoko
 
Usiwe na wasi x2 inawezekana ulikuwa tayari na maambukizi ya uti sasa baada ya shughuli pevu ukaiamsha au huyo bidada ndiye kakuambukiza. Ushauri : mpeleke naye akapimwe na kupata dawa ili muwe salama na kuinjoy bibo
Ahsante mkuu
 
Pole, zingatia matumizi ya condom zama hizi si za kuaminia kirahisi, kuna magonjwa kibao ya zinaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…