Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

Pole sana kijana wewe kapime damu kubwa but usiwe na wasiwasi nowdays ukigudulika unao hapohapo unaanza DOZI
 
Hamnaa kitu ngumu kama kupiga ile shughulii kama unakuwa na kimalariaa ndan ndan ukapigaa mzigo ni rahis kutibukaa na kama umekutana na uti ndo hatari kabisa
 
Yaani watu bado mna roho ngumu, mtu unapiga kavu kavu bila hata kujiuliza, hujui huyo binti kesha pigwa kavu kavu na watu wangapi kabla yako. Halafu UTI ni ugonjwa unaowasumbua watoto, na wanawake. Kwa sisi wa jinsia ya me, kupata UTI ni nadra sana. Nenda wakakupime magonjwa yote ya zinaa. Kupiga kavu kavu ni sawa na kucheza "Russia roulette".
Siku nyingine tumia kinga na achana na ngono zembe.
 
kamkaze tena uone kama iyo hali itajirudia, alafu acha uugue tu yaani 1st time unapiga bao 1 dharau gani hizi.a

hapa unatutaka kupiga ramli we nenda hospitali tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji3]
 
Acha uzinzi ni dhambi
 
Hebu subiri miezi mi3 halafu ukapime HIV..Hizo kama dalili za awali
 
Aseeeh wahi hospital huo ugonjwa ni hatari unaitwa kaswende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…