Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

Baada ya kusex sijielewi, nimepata uchovu siku mbili na mwili unawasha, msaada please

Nilisex na msichana kwa muda mfupi tu mida ya jioni cha kushangaza nilipoamka alifajiri kesho yake nilijihisi mchovu kweli na mbavu zinauma

Hali hii ilichukua siku mbili tu baada ya hapo nikaendelea vizuri ajabu baada ya wiki nahisi mwili unaniwasha hivi na kama nahisi vitu vinanichoma kama vile mbu amening'ata sasa nimeenda kupima nikaambiwa nina malaria na UTI nimeanza dozi lakini bado nina wasiwasi kama inaweza kuwa ni tatizo jingine

Naomba mwenye uelewa na aya mambo anieleweshe vizuri jamani!! Kama linaweza kuwa tatizo jingine
Pole sana kijana wewe kapime damu kubwa but usiwe na wasiwasi nowdays ukigudulika unao hapohapo unaanza DOZI
 
Hamnaa kitu ngumu kama kupiga ile shughulii kama unakuwa na kimalariaa ndan ndan ukapigaa mzigo ni rahis kutibukaa na kama umekutana na uti ndo hatari kabisa
 
Yaani watu bado mna roho ngumu, mtu unapiga kavu kavu bila hata kujiuliza, hujui huyo binti kesha pigwa kavu kavu na watu wangapi kabla yako. Halafu UTI ni ugonjwa unaowasumbua watoto, na wanawake. Kwa sisi wa jinsia ya me, kupata UTI ni nadra sana. Nenda wakakupime magonjwa yote ya zinaa. Kupiga kavu kavu ni sawa na kucheza "Russia roulette".
Siku nyingine tumia kinga na achana na ngono zembe.
 
kamkaze tena uone kama iyo hali itajirudia, alafu acha uugue tu yaani 1st time unapiga bao 1 dharau gani hizi.a

hapa unatutaka kupiga ramli we nenda hospitali tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji3]
 
Nilisex na msichana kwa muda mfupi tu mida ya jioni cha kushangaza nilipoamka alifajiri kesho yake nilijihisi mchovu kweli na mbavu zinauma

Hali hii ilichukua siku mbili tu baada ya hapo nikaendelea vizuri ajabu baada ya wiki nahisi mwili unaniwasha hivi na kama nahisi vitu vinanichoma kama vile mbu amening'ata sasa nimeenda kupima nikaambiwa nina malaria na UTI nimeanza dozi lakini bado nina wasiwasi kama inaweza kuwa ni tatizo jingine

Naomba mwenye uelewa na aya mambo anieleweshe vizuri jamani!! Kama linaweza kuwa tatizo jingine
Acha uzinzi ni dhambi
 
Back
Top Bottom