Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 545
Yaani kila siku tunaona maajabu ya mwaka😂😂😂. Mlianza kusema walioandamana sio Watanzania, haikutosha mkasema waliokufa sio Watanzania mkadhani wananchi ni wajinga! Video zikaanza kuibuliwa hadi na kila inayotoka mnaulizwa huyu sio Mtanzania?
Na Mungu alivyojua kuwaumbua, hata chawa wenu walifikiwa, maana wauaji mliowatuma hawakua na macho, wakasahau targets mlizowatuma wakafyatua mpaka watu wenu, hapa mkakosa pa tukokea. Vitu vimekuwa out of hand.
HUyo mpumbavu anayewapa mawazo ya kijinga akawapa jingine na kwa vile kuwa na akili ni marufuku huko CCM haoooo mkabeba ka punda!
Soma Pia: Tito Magoti: John Heche anashikiliwa na Polisi Osterbay anahojiwa kwa UGAIDI
Kweli mnataka kuangushia lawama hii kwa CHADEMA ambao hawashiriki uchaguzi, mmewastopisha kufanya shugghuli zote za kisiasa, na viongozi wao wakubwa wako jela, kwenye mikono yenu wengine mpaka mnawawekea kamera?
Kwamba Heche alimobilize watu akiwa jela? Kesho mje mseme na Lissu alifanya kikao kuhamasisha watu kumchukia Samia, huyu huyu ambaye hata mtoto wa darasa la pili anajua hafai kwa lolote!🤦
Ila Mungu anajua sana kuwaumbua watu, mkamkamata Heche na kupotea nae kwa siku kadhaa mpaka tulipotaarifiwa mmemshikilia Dodoma. Mungu alitaka kuwaumbua na huu ni mwanzo tu!
Picha ndio kwanza linaanza, wale wote ambao mlitaka kuwaangushia mzingo mmewavunja mabawa, mmebaki wenyewe ulingoni, hamna pa kukimbilia.
Tunasubiri kali ya Karne pale mtakapokuja kusema hata wale polisi ni CHADEMA🤣🤣 Safari hii hamchomoki, tupo na nyinyi mpaka mbakie majivu, ndio kwanzaaaaa asubuhi. Jua lilishachomoza, zamaniiiii, bado kufika utosini na kuangaza kila kona.
2025 TO REMEMBER! Ni Mwaka wa Transformation kwelikweli, kika sehemu lazima isafishwe!