PostGE2025 Baada ya kushindwa kuficha ushahidi, sasa mnataka kuwaangushia mzigo CHADEMA waliokuwa gerezani. Ni ujinga gani huu?

PostGE2025 Baada ya kushindwa kuficha ushahidi, sasa mnataka kuwaangushia mzigo CHADEMA waliokuwa gerezani. Ni ujinga gani huu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Yaani kila siku tunaona maajabu ya mwaka😂😂😂. Mlianza kusema walioandamana sio Watanzania, haikutosha mkasema waliokufa sio Watanzania mkadhani wananchi ni wajinga! Video zikaanza kuibuliwa hadi na kila inayotoka mnaulizwa huyu sio Mtanzania?

Na Mungu alivyojua kuwaumbua, hata chawa wenu walifikiwa, maana wauaji mliowatuma hawakua na macho, wakasahau targets mlizowatuma wakafyatua mpaka watu wenu, hapa mkakosa pa tukokea. Vitu vimekuwa out of hand.

HUyo mpumbavu anayewapa mawazo ya kijinga akawapa jingine na kwa vile kuwa na akili ni marufuku huko CCM haoooo mkabeba ka punda!

Soma Pia: Tito Magoti: John Heche anashikiliwa na Polisi Osterbay anahojiwa kwa UGAIDI

Kweli mnataka kuangushia lawama hii kwa CHADEMA ambao hawashiriki uchaguzi, mmewastopisha kufanya shugghuli zote za kisiasa, na viongozi wao wakubwa wako jela, kwenye mikono yenu wengine mpaka mnawawekea kamera?

Kwamba Heche alimobilize watu akiwa jela? Kesho mje mseme na Lissu alifanya kikao kuhamasisha watu kumchukia Samia, huyu huyu ambaye hata mtoto wa darasa la pili anajua hafai kwa lolote!🤦

Ila Mungu anajua sana kuwaumbua watu, mkamkamata Heche na kupotea nae kwa siku kadhaa mpaka tulipotaarifiwa mmemshikilia Dodoma. Mungu alitaka kuwaumbua na huu ni mwanzo tu!

Picha ndio kwanza linaanza, wale wote ambao mlitaka kuwaangushia mzingo mmewavunja mabawa, mmebaki wenyewe ulingoni, hamna pa kukimbilia.

Tunasubiri kali ya Karne pale mtakapokuja kusema hata wale polisi ni CHADEMA🤣🤣 Safari hii hamchomoki, tupo na nyinyi mpaka mbakie majivu, ndio kwanzaaaaa asubuhi. Jua lilishachomoza, zamaniiiii, bado kufika utosini na kuangaza kila kona.

2025 TO REMEMBER! Ni Mwaka wa Transformation kwelikweli, kika sehemu lazima isafishwe!
Tena mungu alivyokuwa na nguvu amemlinda Heche akawa ndani kipindi watanzania wanadai haki, ina maana Heche na Lisu wangekuwa Nyumbani wakati machafuko yanatokea wangesingiziwa vingi mno na Polisiccm kwa kutumwa na mashetani wa ccm wasio na utu wala huruma hata chembe , hiyo kesi itawaletea Aibu kubwa licha ya kujua kuwa wanachokifanya ni kitu cha kijinga sana ni uonevu na unyama wa kutisha
 
Heche anatengenezwa mazingira ya kukubali malidhiano tu wala hakuna jingine. Think tank wa rais nadhani wameshindwa kazi. Rais mwenyewe atafakari na kufanya maamuzi kama yeye. Maana kama taasisi ni kama inampotosha tu.
Mbinu ya kumtengenezea kesi ya uonevu ili iwe kigezo cha kulegeza msimamo wa kulinda Haki ni matumizi mabaya ya Polisiccm na inazidi kuwafanya Polisiccm wazidi kuongeza tabia ya kuwabambikia chadema kesi kwa njia haramu za kishetani
 
Hapa busara itumike..naona wanapenda kuona rais anazidi kuchukiwa... instead of healing the national wanatafuta wa kumwangushia mzigo
Badala apunguze chuki yeye anazidi kujiongezea chuki toka kwa wapenda haki
 
Hakuna namna CHADEMA na wanaharakati wake mtakwepa hili..... Hii move haikua ya siku moja bali mpango wa muda mrefu na CHADEMA walikua na uhakika nao... Trainings, malipo, meetings vyote vilikua sehemu ya chadema. Kauli ya kukinukisha haikua ya bahati mbaya.

System umefail ila imepata funzo kubwa sana, chadema, wanaharakati na wafadhili wake wamefail pakubwa zaidi.

Matarajio na kilichotokea havifanani kwa pande zote mbili.
Huu upumbavu wako kaa nao huko wewe shetani mkubwa, yaani mnataka kuwasingizia uongo ili kuwabambikia kesi za mchongo, huo ufala wako utakuletea laana kubwa upate Aibu mbele ya Dunia
 
Lissu alitoa kauli yake akiwa gerezani?? Mnajiona wajuvi sanaa kumbe mmeshikiwa akili kwenye milioni 63 mmefanya tathimini ya walioandamana (sio wezi) ni wangapi??? Mmefanikiwa kwa kiasi gani na mmefikisha ujumbe gani sio kwa serikali bali kwa wananchi??? Je ni asilimia ngapi ya wananchi wa Dar (sio vibaka wenu) utawaambia kesho waandamane na wakatoka????
Wewe na wenzako ndiyo mmefanya huo uhalifu wote ili mje kuwasingizia kuwabambikia kesi chadema, ebu acha kuvuta Bangi na kuwa na Roho mbaya hivyo, muogope mungu na pia ujue watanzania wapenda haki wana Akili Timanu wanajua propaganda zenu zote
 
Unawaza kwa kutumia shimo la haja kubwa.... Unaandamana na kupiga kelele humu wenzako wanalipwa kila siku kwa ujinga wako
Hakuna upumbavu na ushetani mkubwa kama kuwasingizia watu tuhuma za uongo wakati wakiwa jela, Kwanza kutumia polisiccm kuwanyanyasa chadema mkae mkijua hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Bokasa, Omary Bongo, Rungu, Chiluba, Albashiri, Mabutu, iddy Amin Dada wapo wapi sasa? Fanyeni uonevu unyama wenu weee lakini mtambue mwisho mwa ubaya ni Aibu kubwa
 
Hayo ni ya kupuuzia tuu, yanatumia mattakko kufikiri, na lile shetani la kizimkazi Samia, ICC wameanza kulifanyia mchakato Nina uhakika lilipo sasa linajiharishia, na maandamano mengine makubwa zaidi yanakuja
 
Hakuna namna CHADEMA na wanaharakati wake mtakwepa hili..... Hii move haikua ya siku moja bali mpango wa muda mrefu na CHADEMA walikua na uhakika nao... Trainings, malipo, meetings vyote vilikua sehemu ya chadema. Kauli ya kukinukisha haikua ya bahati mbaya.

System umefail ila imepata funzo kubwa sana, chadema, wanaharakati na wafadhili wake wamefail pakubwa zaidi.

Matarajio na kilichotokea havifanani kwa pande zote mbili.
Kwa siku 6 mmebadilisha script za kila aina, ninyi ni waongo, mna historia ya uongo na hamuaminiki. Mnapenda kukanusha kuliko kuweka kumbukumbu sahihi. Internet ilizimwa mlisahau kamera za simu hazijazimwa, matokeo yake kila kitu kimerekodiwa na kiko wazi dunia nzima inaona.


Walioua watu , aliyewatuma na wenye dhamana ya ulinzi wa watu na mali zao wote wawajibishwe.
 
Sijawahi kuona watu kama hawa!

Wajibikeni kwa mlichofanya, Waliofariki wamewajibika. Na ninyi wauaji wajibikeni.

Viongozi wa CHADEMA wanahusikaje katika hili? Kwamba wanatoa maagizo toka death row?
Moja ya shida ya mashetani wa ccm ni kuwadharau watanzania, ibirisi wa ccm hudhani kuwa watanzania ni wajinga kama wao ndiyo maana hawaaachi kukaa kupanga njama mipango ya hovyo pasipo kutafakari kwanza
 
Ushetani wa ccm ni wa kutisha sana,hawana Aibu tena, wamewadharau watanzania kwa kiwango cha ajabu sana, wakikaa huko wanashauriwa na wavuta bangi wawanyanyase chadema kwa kuwasingizia kila ubaya waliotenda wao ccm, ni vyema Chadema watoe Tamko mapema kulaani njama zote toka ccm mapema ili ccm wazidi kupata laana za wapenda Haki
 
Sijawahi kuona watu kama hawa!

Wajibikeni kwa mlichofanya, Waliofariki wamewajibika. Na ninyi wauaji wajibikeni.

Viongozi wa CHADEMA wanahusikaje katika hili? Kwamba wanatoa maagizo toka death row?
 
Hakuna upumbavu na ushetani mkubwa kama kuwasingizia watu tuhuma za uongo wakati wakiwa jela, Kwanza kutumia polisiccm kuwanyanyasa chadema mkae mkijua hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Bokasa, Omary Bongo, Rungu, Chiluba, Albashiri, Mabutu, iddy Amin Dada wapo wapi sasa? Fanyeni uonevu unyama wenu weee lakini mtambue mwisho mwa ubaya ni Aibu kubwa
Heche kapelekwa Jela lini??? Je Chadema ni heche na Lissu tu kama ndivyo wote nyie na viongozi wenu ni wapumbavu. Mwanza mambo yalikua yanaratibiwa na watu wako jela, kagera wote waliwahiwa wote... Acha upuuzi
 
Back
Top Bottom