PostGE2025 Baada ya kushindwa kuficha ushahidi, sasa mnataka kuwaangushia mzigo CHADEMA waliokuwa gerezani. Ni ujinga gani huu?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sijawahi kuona watu kama hawa!

Wajibikeni kwa mlichofanya, Waliofariki wamewajibika. Na ninyi wauaji wajibikeni.

Viongozi wa CHADEMA wanahusikaje katika hili? Kwamba wanatoa maagizo toka death row?
Akili za maccm ni za kishetani sana, hawana Aibu, wamejitoa fahamu zote na kuwaona watanzania hawana uwezo wa kufikiri bali wao pekee ndiyo wanafikiri kwa niaba yao, Ushetani wa ccm ya sasa ni mkubwa mno na njia nzuri na sahihi ya kuukomesha ni Chadema kufangulia kesi ccm huko ICC The Hague mapema iwezekanavyo kwa ushahidi ambao umetapakaa kote Nchini
 
Heche kapelekwa Jela lini??? Je Chadema ni heche na Lissu tu kama ndivyo wote nyie na viongozi wenu ni wapumbavu. Mwanza mambo yalikua yanaratibiwa na watu wako jela, kagera wote waliwahiwa wote... Acha upuuzi
Huo upumbavu baki nao huko unaposhinda ukivuta bangi, kama Heche wakiwa Uraiani mnawabambikia kesi kila mara mtashindwa vipi kutunga story za uongo ili mpate visingizio vya kuwabambikia kesi? Huo uchuro wenu vina mwisho wake hakuna mabaya yasiyo na mwisho hata wewe mvuta bangi mtengeneza propaganda za kijinga una mwisho wako tu
 
Kwa siku 6 mmebadilisha script za kila aina, ninyi ni waongo, mna historia ya uongo na hamuaminiki. Mnapenda kukanusha kuliko kuweka kumbukumbu sahihi. Internet ilizimwa mlisahau kamera za simu hazijazimwa, matokeo yake kila kitu kimerekodiwa na kiko wazi dunia nzima inaona.

Walioua watu , aliyewatuma na wenye dhamana ya ulinzi wa watu na mali zao wote wawajibishwe.
Walioiba na kulipua vituo vya mafuta pia tumewaona hilo mlijue pia.... Kwa siku sita sasa sijaona picha hata moja ya waandamanaji bali vibaka wakivunja maduka ya watu kuchoma mali za watu na kuiba magodoro na gesi alafu mlitaka mchekewe tu.... Sifurahii waliopteza maisha kwa bahati mbaya ila tunalipa gharama ya upumbavu wetu kulishwa ujinga na wasiokua kwa ground.

Mmleta vurugu haya....

Mange yuko wapi??

Lissu yuko wapi (mnamuona mzalendo ila game zima lilipangwa liwe hivyo)??

Heche yuko wapi mkadhani alikamatwa bahati mbaya??

Lemaa vip??

Hilda yuko wapi??

Maria sarungi yuko wapi??

Bony Yai wapi??

Pambalu vipi??

Mnalilia ujinga hakuna kiongozi hata mmoja aliekufa wajinga mnapiga kelele tu mitandaoni. Endeleeni kufa kishujaa wenzunu wanalipwa kwa kila kifo.
 
Huo upumbavu baki nao huko unaposhinda ukivuta bangi, kama Heche wakiwa Uraiani mnawabambikia kesi kila mara mtashindwa vipi kutunga story za uongo ili mpate visingizio vya kuwabambikia kesi? Huo uchuro wenu vina mwisho wake hakuna mabaya yasiyo na mwisho hata wewe mvuta bangi mtengeneza propaganda za kijinga una mwisho wako tu
Bangi mnavuta nyie wezi wakubwa
 
Wewe na wenzako ndiyo mmefanya huo uhalifu wote ili mje kuwasingizia kuwabambikia kesi chadema, ebu acha kuvuta Bangi na kuwa na Roho mbaya hivyo, muogope mungu na pia ujue watanzania wapenda haki wana Akili Timanu wanajua propaganda zenu
Wewe ulitoka kudai haki au huna akili pia?? Naomba picha hata moja ya watu wastaarabu na wenye kuijua demokrasia wakidai haki.
 
IQ ya maccm ni Finyu sana, yaana maccm yana Roho mbaya sana, hayana utu wala ubinadamu yaani watu wapo jela kwa kesi za kubambikiwa na bado wakiwa huko huko jela wanawaongezea kesi zingine za uongo zaidi tena uongo wa ajabu mno bila Aibu, washauri wa ccm ya sasa Akina steve Nyerere na mwijaku, Baba Level ebu mjitafakari kwanza
 
Hakuna namna CHADEMA na wanaharakati wake mtakwepa hili..... Hii move haikua ya siku moja bali mpango wa muda mrefu na CHADEMA walikua na uhakika nao... Trainings, malipo, meetings vyote vilikua sehemu ya chadema. Kauli ya kukinukisha haikua ya bahati mbaya.

System umefail ila imepata funzo kubwa sana, chadema, wanaharakati na wafadhili wake wamefail pakubwa zaidi.

Matarajio na kilichotokea havifanani kwa pande zote mbili.
wajinga nyie mlijua mnawaongoza kima,mala mmeteka watu,mala mnwapoteza kwa akili zenu za nguruwe hakuna mlichojifunza
 
Hakuna namna CHADEMA na wanaharakati wake mtakwepa hili..... Hii move haikua ya siku moja bali mpango wa muda mrefu na CHADEMA walikua na uhakika nao... Trainings, malipo, meetings vyote vilikua sehemu ya chadema. Kauli ya kukinukisha haikua ya bahati mbaya.

System umefail ila imepata funzo kubwa sana, chadema, wanaharakati na wafadhili wake wamefail pakubwa zaidi.

Matarajio na kilichotokea havifanani kwa pande zote mbili.
Alafu CCM ikashinda kwa asilimia 98!
 
IMG-20251104-WA0007.jpg
 
Walioiba na kulipua vituo vya mafuta pia tumewaona hilo mlijue pia.... Kwa siku sita sasa sijaona picha hata moja ya waandamanaji bali vibaka wakivunja maduka ya watu kuchoma mali za watu na kuiba magodoro na gesi alafu mlitaka mchekewe tu.... Sifurahii waliopteza maisha kwa bahati mbaya ila tunalipa gharama ya upumbavu wetu kulishwa ujinga na wasiokua kwa ground.

Mmleta vurugu haya....

Mange yuko wapi??

Lissu yuko wapi (mnamuona mzalendo ila game zima lilipangwa liwe hivyo)??

Heche yuko wapi mkadhani alikamatwa bahati mbaya??

Lemaa vip??

Hilda yuko wapi??

Maria sarungi yuko wapi??

Bony Yai wapi??

Pambalu vipi??

Mnalilia ujinga hakuna kiongozi hata mmoja aliekufa wajinga mnapiga kelele tu mitandaoni. Endeleeni kufa kishujaa wenzunu wanalipwa kwa kila kifo.
Kwenye vikao vyenu watakupongeza kwa namna hii ya kufikiri sio huku. Huku tunafikiria independently hatusaidiwi wala hatumezeshwi madesa.

Mbadala wa kutokumchekea mtu ni kumpiga risasi?

Hizo script zingine za kulipwa na blah blah hazina maana, It’s 2025

Waliouwa raia wawajibishwe. Uhai hauna spea.
 
Maccm badala ya kubuni mbinu ya kupunguza au kumaliza Chuki toka kwa watanzania wapenda Haki, yemekalia kubuni mbinu za kipumbavu zaidi za kuongeza chuki kubwa mno toka kwa watanzania baada ya kuanza kutaka kuwasingizia chadema machafuko juu ya uchaguzi wa maigizo wa Tume ya ccm iliyojaa kura za mifukoni , kuwabambikia kesi wizi wa kura, ufisadi, utekaji mauaji uonevu na manyanyaso yote kwa chadema havijawatosha ? Wapenda haki wanaichukia ccm kwa manyanyaso na uonevu wake kwa chadema, cha Ajabu sasa wameanza njama za kuwasingizia Uongo hata waliopo jela ni Aina ya ushetani na Roho mbaya za kutisha sana
 
Hakuna namna CHADEMA na wanaharakati wake mtakwepa hili..... Hii move haikua ya siku moja bali mpango wa muda mrefu na CHADEMA walikua na uhakika nao... Trainings, malipo, meetings vyote vilikua sehemu ya chadema. Kauli ya kukinukisha haikua ya bahati mbaya.

System umefail ila imepata funzo kubwa sana, chadema, wanaharakati na wafadhili wake wamefail pakubwa zaidi.

Matarajio na kilichotokea havifanani kwa pande zote mbili.
utumbo wa mama yako ulizaa kinyesi
 
Kwenye vikao vyenu watakupongeza kwa namna hii ya kufikiri sio huku. Huku tunafikiria independently hatusaidiwi wala hatumezeshwi madesa.

Mbadala wa kutokumchekea mtu ni kumpiga risasi?

Hizo script zingine za kulipwa na blah blah hazina maana, It’s 2025

Waliouwa raia wawajibishwe. Uhai hauna spea.
Waliofanya uhalifu wawajibishwe pia tusiwe bias kujiona bora na kusahau kwamba hatuko sahihi pia.... Kwamba, nyie msikilizwe zaidi ila mawazo mbadala kwenu wamelipwa mna tofauti gani na hao mnaowapinga??
 
Hakuna namna CHADEMA na wanaharakati wake mtakwepa hili..... Hii move haikua ya siku moja bali mpango wa muda mrefu na CHADEMA walikua na uhakika nao... Trainings, malipo, meetings vyote vilikua sehemu ya chadema. Kauli ya kukinukisha haikua ya bahati mbaya.

System umefail ila imepata funzo kubwa sana, chadema, wanaharakati na wafadhili wake wamefail pakubwa zaidi.

Matarajio na kilichotokea havifanani kwa pande zote mbili.
Yangeratibiwa yasingekuwa na uvunjifu wa aina ile kwa mali bali kwa watawala tu
 
Back
Top Bottom