Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Hii nchi ilipofikia inatia kichefuchefu.

Alafu serikali ya sisiem hawajisikii aibu kabisa kwa huu ushetani unaoendelea Tz.

Jamaa alipotaja kituo cha polisi gogoni mijamaa ndiyo ikashtuka na kukimbia. Hawa hwastahili hata kuwa hai.
 
Lakini kuna kitu huyu Deo kakifanya.
Si bure, either ni muhalifu sugu au kapiga tukio.
ukweli utajulikanq
Kama ni criminal case kuna utaratibu wa kisheria wa kukamata mtu unaojulikana.

Na kama ni Polisi kwa nini hawakufuata protocal ya ukamataji?

Kuja kwa njia hiyo kunahesabika kama ni utekaji na ni utekaji halisi.
 
Deo Mungu akulinde kaka Soma Zab 109 mara 3 kwa siku 21 mpakq waliowatuma watasambaratika kwa siku saba naona wanagongwq na gari .Save hii post
Aisee jamaa wanajiamini sana. Inaonekana Nyuma yao kuna mtu mkubww sana.

Eti tutakurudia baadae.....na kweli wakarudi
 
Mbona waliahidi kurudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…