Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Wananchi gan hawa hawa Watanzania wanaotazama tu mtu akitekwa au wengine?
 
Wananchi gan hawa hawa Watanzania wanaotazama tu mtu akitekwa au wengine?
 
Sasa muhalifu sugu ndo akamatwe kwa njia ya kutekwa?

Kwamba polisi wangeenda na uniform, defender na warranty wasingeweza kumkamata?

Hata wewe mwenyewe ukiangalia hiyo video hapo juu, hivyo ndivyo polisi wanatakiwa kukamata muhalifu?
Huo ndio uelewa wa watanzania wengi wao mtu akikamatwa basi ni mualifu na anatakiwa kukamatwa kivyovyote tu hawajali.
 
Mbona wanajiamini sana?
Hakuna wa kuwababaisha?

Mnaosema wananchi waingilie kati hivi watanzania hawa hawa wa dar wanaojifungia chini ya uvungu wanaogopa panya Road? Au wengine?
Huwezi kuingilia kati matukio kama haya ni hatari mara mbili sasa imagine kumbe wale ni polisi na wakuwa na smg au silaha yyte ukaingilia kati wakakufyetulia risasi na wakasema ulikuwa unazua wao kufanya kazi yao unadhani nani ataaminika zaidi hapo..

Njia sahihi ni kuchukua visibitisho kama hao watu wa hotelini walivyofanya hiyo inatosha kabisa.
 
Wakuu,

Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya.

Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa ajili ya kumtafuta bwana Deo .

Mmiliki wa hoteli hiyo aliongeza kwa kusema kuwa hata hivyo camera za CCTV ziliwanasa wakiwa wanaingia.

View attachment 3151634
Aweke hizo video za cctv wakati wanarudi.. ili wazidi kuaibika
 
Lakini kuna kitu huyu Deo kakifanya.
Si bure, either ni muhalifu sugu au kapiga tukio.
ukweli utajulikanq
Hata kama kapiga tukio kwanini wa take kumteka badala ya kumkamata na defender inayokuwa na polisi wenye uniform?
 
Tukiendelea kuchekea hivi vitendo basi tutambue kuna siku hali itakuwa mbaya na tunaweza kuwa na gangs mitaani ambazo tutashindwa kuzicontrol.

Kama shida ni madaraka na issue za kisiasa tutambue tunatumie mbinu za kizamani Sana ambazo nyakati hizi ni ngumu sana.
 
Me ningemkubali
Mwamba alikomaa nao sana.

Yule jamaa nimemkubali sana na Mungu ni mwema sana.
kama angemkali uyo mdogomdogo alovaa black na Buti ningemwaminia sana mwamba, make angekaliwa yule mavi yote nje sema big kaupiga mwingi japo kinyonge ila mungu mwema
 
Hivi si alitoa maelezo polisi, akawaambia wameahidi kurudi tena. Kwanini polisi hawakupangiwa, kufanya doria ndani ya siku 3 hapo?

Wananchi wakisema ni polisi, wanaibuka kukanusha. Hii nchi nani ana ubavu, wa kwenda kumteka mtu na pingu juu, na watu wakiona?

Watanzania tuna safari ndefu sana.
 
Wakuu,

Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya.

Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa ajili ya kumtafuta bwana Deo .

Mmiliki wa hoteli hiyo aliongeza kwa kusema kuwa hata hivyo camera za CCTV ziliwanasa wakiwa wanaingia.

View attachment 3151634
Huu utekaji ni dhahiri unafanywa na TISS ndio maana hakuna uchunguzi unaoendelea mpaka sasa kuwanasa hawo "watu wasiojulikana".
 
Hii nchi ya kingese sana. Hivi si alitoa maelezo polisi, akawaambia wameahidi kurudi tena. Kwanini polisi hawakupangiwa, kufanya doria ndani ya siku 3 hapo?
Wananchi wakisema ni polisi, wanaibuka kukanusha. Hii nchi nani ana ubavu, wa kwenda kumteka mtu na pingu juu, na watu wakiona?
Watanzania tuna safari ndefu sana.
Ni bora kila mtu ajinunulie bunduki au silaha za jadi kama vile upinde, mikuki na mishale ili kujilinda binafsi. Hii nchi sasa ni kama mbuga ya wanyama ambako nguvu zako ndizo zinakuokoa usiliwe ma simba au chui.
 
Back
Top Bottom