Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Baada ya kushindwa kumteka Deo Bonge mchana, watekaji walirudi kumtafuta tena usiku

Mbona huyu deo hatuambii nini walichogombana nae kuna stori anaficha sio kweli kuwa wanamuonea na tujue je ni mambo ya siasa au dili za mjini .usikute wote wahalifu.
 
Yule dogo white anaonekana vizuri sana.

Je na hawa tuwaite wasiojulikana?

Vipi Kamanda wa Kanda Maalum alishatoa Taarifa yoyote?
Wale tiss wanajulikana....Police wanawajua wako kazini .....wana maelekezo....pia sheria mpya tiss 2023 inawalinda tutatekwa milele sheria haiwagusiiiiiiii hata wakiiua makusudi haulizwi wala kushitakiwa.......hao wabunge walisema ndioooo wasubiri zamu yao.....
 
Lakini kuna kitu huyu Deo kakifanya.
Si bure, either ni muhalifu sugu au kapiga tukio.
ukweli utajulikanq
Kwani vyombo vya usalama hawana haki ya kumshika mtuhumiwa yeyote, mahali na wakati wowote?
Kama wanayo haki kwanini waliondoka baada ya kushindwa?
Kwanini watumie kificho?
Je, wangevaa sare na kuonyesha vitambulisho kulikuwa na shida gani?
Hawa ni washenzi wako chini ya CCM
 
Umeandika kama mpumbavu. Si waende wakamshtaki Police. Ni rahisi tu. Yaani apige tukio Police washindwe mkamata kwa utaratibu?
Hawa vijana akili zao shetani alishaziiba.
Usibishane nao.
Mpaka waziri mkuu akifanya uhalifu police wanaweka kumfanyia arrest ilishindikana vipi kwa huyu raia wa kawaida?
 
Wakuu,

Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya.

Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa ajili ya kumtafuta bwana Deo .

Mmiliki wa hoteli hiyo aliongeza kwa kusema kuwa hata hivyo camera za CCTV ziliwanasa wakiwa wanaingia.

View attachment 3151634
Aachie hizo video tuwaone
 
Lakini kuna kitu huyu Deo kakifanya.
Si bure, either ni muhalifu sugu au kapiga tukio.
ukweli utajulikanq
Ndio ukamataji wa namna Ile wa kishamba? "Primitive arrest"? Sidhani kama unafikiria Kwa angle sahihi! Na kwanini hujiulizi Jeshi la polisi limewakana hao wakamataji! ?!
 
Wakuu,

Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya.

Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa ajili ya kumtafuta bwana Deo .

Mmiliki wa hoteli hiyo aliongeza kwa kusema kuwa hata hivyo camera za CCTV ziliwanasa wakiwa wanaingia.

View attachment 3151634
Mzee Minje anakwambia yupo vizuri "VYUMA" vingelia 😀 😀 😀.

Halafu kuna mada humu zinaandikwa kila siku ukipigiwa simu kwa ajili ya mialiko ambayo si ya kikawaida yenye kuvutia sana hapo stuka nenda kimachale ikiwezekana nenda hata na hidden escort ili ukitekwa majita watokee walize VYUMA ,ukienda kiboya kama KIMBAUMBAU unarushwa kama mdoli kwenye NOAH.
 
Wale tiss wanajulikana....Police wanawajua wako kazini .....wana maelekezo....pia sheria mpya tiss 2023 inawalinda tutatekwa milele sheria haiwagusiiiiiiii hata wakiiua makusudi haulizwi wala kushitakiwa.......hao wabunge walisema ndioooo wasubiri zamu yao.....
Kama ndio tiss wenu hao hapo Hamna kitu kabisa empty yaani utumwe mission halafu unarudi ofisini Kwa mkuu unajibu tutarudi tena
 
Aliye karibu na huyo mzee mwenye hoteli amwambie asifunguke sana kwenye vyombo vya habari atawasanua siku nyingine wakija watakuwa wamejiandaa vya kutosha kukabiliana na mtu mwenye mkwaju. Yeye abakie na siri yake tu kuwa ana mkwaju halafu ikitokea wakija kifala ana wasuprise kama Zakaria.

Jambo lingine kila mtu hapa lazima aelewe hao jamaa walivyorudi jioni hawakurudi kuja kumtafuta Deo bonge bali watakuwa walienda kufuta ushahidi kwa kuchunguza kama kuna CCTV kamera na iwapo walirekodiwa na namna ya aidha kuiba au kuharibu ule mtambo sijui wanauitaga NVR (wataalamu watanisaidia hili jina). Kama kuna mtu ana CCTV kamera nyumbani, ofisini, hotelini, n.k. hakikisheni huo mtambo unafichwa mbali sana kwani wahalifu wakifanya tukio cha kwanza wanahakikisha wanaondoka au wanauharibu huo mtambo. Wacha niishie hapa!!!

Ni mtizamo tu.
 
Back
Top Bottom