kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
No. Logic haikubaii. Nadhani walirud kupima upepo or most likely kuona kama waliyambuliwa(cctv) Huwezi Rudi pale ulipooota hela ukitegemea alodondosha atarudi kudondosja tena. Nakama ndivyo basi hao ni watu wapunavu kuwahi kutokea yaàni form four failure zero walioajiriwa polisiWakuu,
Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya.
Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki wa hoteli ambayo Deo alikuwa anajaribu kutekwa amesema kuwa watekaji hao walirudi tena usiku kwa ajili ya kumtafuta bwana Deo .
Mmiliki wa hoteli hiyo aliongeza kwa kusema kuwa hata hivyo camera za CCTV ziliwanasa wakiwa wanaingia.
View attachment 3151634