Baada ya kusikia vitu kama mchanga unamwaga batini usiku wa manane nimetoka nje kuangalia ila sioni kitu, nini tatizo?

Mwagia chumvi ya mawe.
Nyingine iache wazi humo ndani.
Nipe mrejesho asubuhi.
 
Ndugu, kama unalala ndani na wao wanafanya shughuli zao nje we unaogopa nini ? Hapo unapotokatoka nje kila wanapofanya vitu vyao wanaona wamekuwin na ndio furaha yao. Ikiwa hawezi kudhuru roho yako unahangaika nae wa nini? Ukimpptezea atajiona anachokifanya hakina faida kwako mwishowe atakuita mchawi.
 
Anza kuandika proposal ya kujifunza wanga wanavyofanya kazi . Ni field ambayo iko underexplored. PhD ziko nje nje ila hamtaki kujifunza.
 
Acha kutumia muda mwingi kustarehe na kula tunda, umegeuza safari yako kuwa fungate. Ninakushauri hakikisha kila siku angalau unatumia saa zisizopungua nane kulala usingizi ili ubongo wako upumzike, ukifanya hivi tatizo lako litakwisha.
 
Wachawi ni watu wabaya sana. Juzi usiku niliamkaa ghafla na nikasikia saudi za watu zikizungumza chumbani kwangu. Nikatulia na kuanza kusikiliza na kuangalia kwa umakini zile Sauti zikapotea.

Nilipoamka asubuhi nikashangaa t-shirt yangu nimevaa mbele nyuma. Na hiyo t-shirt nilivaa mda mrefu tu kabla ya kulala na niliivaa vizuri tu. Ikanibidi niivue niangalie kama nimechanjwa na kusikilizia maumivj ya chale lakini sijaona kitu. Nikajua huyo mchawi atakuwa ni binti tu ana alimaindi my six park πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haha majirani wamekuja kukutembelea, kojoa kwenye kopo alafu mwagia huko batini, utakuja kunipa matokeo na hawatarudia tena washenzi hao
Shida ni wakiiba na huo mkojo Tena nahisi tuta mkosa mwana Bora ahame tuuπŸ˜€πŸ˜€
 
Shida ni wakiiba na huo mkojo Tena nahisi tuta mkosa mwana Bora ahame tuuπŸ˜€πŸ˜€
Mkuu amini nakwambia, mkojo ni kitu kitu kikubwa sana kinachokwamisha shuguri zao kufanyika. Yaani ni kama vile unavyosikia kitimoto ndio sawa na mkojo. Kama nyumbani kwako kuna mauza uza, jenga tabia ya usiku kukojoa kwenye ndoo au kopo alafu liache pembeni ya kitanda likiwa wazi. Hakika nakwambia vimbwanga vyao hautakuja kuvisikia tena.
 
🀝🀝
 
Punguza papara ukiwa unaangalia, leo nitakuja tena kumwaga fuso la mchanga hapo nyumbani kwako. jitahidi uwe makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…