Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutumia muda mwingi kustarehe na kula tunda, umegeuza safari yako kuwa fungate. Ninakushauri hakikisha kila siku angalau unatumia saa zisizopungua nane kulala usingizi ili ubongo wako upumzike, ukifanya hivi tatizo lako litakwisha.Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,
tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati.
Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama sikuzingatia sana japo mwenzangu alikuwa anaweweseka sana kusema ni wachawi, mi wala sikujali.
Siku ya jana hali ilikuwa kawaida tu ila mwenzangu alianza kulala bila kuzima taa, nikabaki namshangaa.
Sasa na leo hali imejirudia kama ya juzi nilitoka nje kuangalia batini ila sikuona chochote, nikapotezea nikarudi kuchapa usingizi huku mwenzangu akiwa amepaniki usingizi wake umekata, ghafla tena hali ikajirudia nilitoka nje kama mshale nikiwa nimebeba kurunzi kumulika batini lakini sikuona chochote
Naombeni ushauri maana sielewi, mwenzangu ndio yupo hoi kabisa nahisi tanesco wakikata umeme atazimia.
Shida ni wakiiba na huo mkojo Tena nahisi tuta mkosa mwana Bora ahame tuu😀😀Haha majirani wamekuja kukutembelea, kojoa kwenye kopo alafu mwagia huko batini, utakuja kunipa matokeo na hawatarudia tena washenzi hao
Mkuu amini nakwambia, mkojo ni kitu kitu kikubwa sana kinachokwamisha shuguri zao kufanyika. Yaani ni kama vile unavyosikia kitimoto ndio sawa na mkojo. Kama nyumbani kwako kuna mauza uza, jenga tabia ya usiku kukojoa kwenye ndoo au kopo alafu liache pembeni ya kitanda likiwa wazi. Hakika nakwambia vimbwanga vyao hautakuja kuvisikia tena.Shida ni wakiiba na huo mkojo Tena nahisi tuta mkosa mwana Bora ahame tuu😀😀
🤝🤝ndrungu zango,
apo apartment si kuna mti apo ambao matawi yake yanakaribia kugusa bati?🐒
maana yake kukiwa na upepo hayo matawi yananesa hadi kugusa bati ndio mnaskia kama kumwagwa mchanga means ayo matawi yanakua kama yanafagia bati 🐒
kwahivyo msiogope wala kua na Imani potofu 🐒
By the way,
mchawi mwenyewe muoga kichizi ndio maana anafanya kazi zake usiku gizani🐒
Punguza papara ukiwa unaangalia, leo nitakuja tena kumwaga fuso la mchanga hapo nyumbani kwako. jitahidi uwe makini.Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,