Baada ya kusikia vitu kama mchanga unamwaga batini usiku wa manane nimetoka nje kuangalia ila sioni kitu, nini tatizo?

Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,

tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati.

Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama sikuzingatia sana japo mwenzangu alikuwa anaweweseka sana kusema ni wachawi, mi wala sikujali.

Siku ya jana hali ilikuwa kawaida tu ila mwenzangu alianza kulala bila kuzima taa, nikabaki namshangaa.

Sasa na leo hali imejirudia kama ya juzi nilitoka nje kuangalia batini ila sikuona chochote, nikapotezea nikarudi kuchapa usingizi huku mwenzangu akiwa amepaniki usingizi wake umekata, ghafla tena hali ikajirudia nilitoka nje kama mshale nikiwa nimebeba kurunzi kumulika batini lakini sikuona chochote

Naombeni ushauri maana sielewi, mwenzangu ndio yupo hoi kabisa nahisi tanesco wakikata umeme atazimia.
Ulilala Bila kusali hiyo Hali itajirudia.. hapo Ni kwamba mwenye nyuma anaweza kuwa Ni wale WA Islam ambao huwa wanaakini kwenye ushirikina mpaka wasome dua au kuchinja mbuzi/kondoo ndo Mambo yatakaa Sawa

Kwasisi wakristo sali na soma biblia.. nakushauri anza na waefeso itakufaa Sana kupambana nao hata ukiwa ndotoni

Binafsi Mimi hicho kitu kiliwahi tokea kwenye nyumba flani ambayo tulihamia kumbe mwenye nyumba alikuwa bado hajayatuliza Mambo yake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabla ya kulala muwe mnasali na kama unajiweka mikononi mwa Yesu Kristo basi utalala kama mtoto. Ukiwasikia hao wanga sema “shindwa kwa Jina la Yesu “, halafu funika nyumba yako kwa Damu ya Yesu.
 
Ulilala Bila kusali hiyo Hali itajirudia.. hapo Ni kwamba mwenye nyuma anaweza kuwa Ni wale WA Islam ambao huwa wanaakini kwenye ushirikina mpaka wasome dua au kuchinja mbuzi/kondoo ndo Mambo yatakaa Sawa

Kwasisi wakristo sali na soma biblia.. nakushauri anza na waefeso itakufaa Sana kupambana nao hata ukiwa ndotoni

Binafsi Mimi hicho kitu kiliwahi tokea kwenye nyumba flani ambayo tulihamia kumbe mwenye nyumba alikuwa bado hajayatuliza Mambo yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Mpuuzi mmoja waislam wameingiaje hapo? Kenge maji Wewe
 
Sina maana mbaya.. lakini wenzetu Kuna namna huwa mpo karibu na Majini.. Jini kwenu sio adui kama ilivyokwetu ndo maana waislamu wengi wanamajini kuliko wakristo ni kitu ambacho nimekifamu kutokana na mazingira tofauti niliyokulia

Sina maana ya kuleta udini hapa mkuu.. lakini hivyo ndivyo ilivyo
 
Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,

tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati.

Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama sikuzingatia sana japo mwenzangu alikuwa anaweweseka sana kusema ni wachawi, mi wala sikujali.

Siku ya jana hali ilikuwa kawaida tu ila mwenzangu alianza kulala bila kuzima taa, nikabaki namshangaa.

Sasa na leo hali imejirudia kama ya juzi nilitoka nje kuangalia batini ila sikuona chochote, nikapotezea nikarudi kuchapa usingizi huku mwenzangu akiwa amepaniki usingizi wake umekata, ghafla tena hali ikajirudia nilitoka nje kama mshale nikiwa nimebeba kurunzi kumulika batini lakini sikuona chochote

Naombeni ushauri maana sielewi, mwenzangu ndio yupo hoi kabisa nahisi tanesco wakikata umeme atazimia.
Kwanza poleni kwa changamoto.
Vitu hivyo ni kawaida kwa baadhi ya nyumba zinakuwa zimefanyiwa mazindiko, zinapokutana na mtu konki, hao walinzi wanashindana huko juu!.

Kuna baadhi ya nyumba hali ni worse mpaka zinakuwa hazikaliki, yaani zinakuwa haunted houses.

Hatua za kuchukua
Short Time
1. Sali kabla ya kulqla na usiamini mambo nguvu za giza.
2. Kama ni Mkristo agiza menu ya ile kitu, piga na vitu kidogo, acha mifupa mezani, Malala kwa amani kabisa!.
3. Uchawi upo ila ukiuamini, usipo uamini haukudhuru.
4. Mungu yupo na shetani yupo, wote wawili ni omnipotent na Omnipresence wako ndani yako, hivyo wewe una Mungu ndani yako na unaweza kufanya kila kitu! Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
P
 
Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,

tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati.

Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama sikuzingatia sana japo mwenzangu alikuwa anaweweseka sana kusema ni wachawi, mi wala sikujali.

Siku ya jana hali ilikuwa kawaida tu ila mwenzangu alianza kulala bila kuzima taa, nikabaki namshangaa.

Sasa na leo hali imejirudia kama ya juzi nilitoka nje kuangalia batini ila sikuona chochote, nikapotezea nikarudi kuchapa usingizi huku mwenzangu akiwa amepaniki usingizi wake umekata, ghafla tena hali ikajirudia nilitoka nje kama mshale nikiwa nimebeba kurunzi kumulika batini lakini sikuona chochote

Naombeni ushauri maana sielewi, mwenzangu ndio yupo hoi kabisa nahisi tanesco wakikata umeme atazimia.
Mkuu kabla haujaenda mbele zaidi, chunguza kama kuna popo maeneo yenu maana wana kawaida ya kupupu vijimbegu walivyokula wakati wanaruka.

Chunguza chini kama kuna viashiria ya vinyesi vya popo
 
Ni kweli ipo jamii ya watu kazi yao ndo hiyo KUSUMBUA wenzao. Hili huenda linatokea kwa sababu.
1- yawezekana vijana hamsalimii wenyeji wenu.
2 - yawezekana vijana kuna vijana wenzenu mnawapotezea.

3- yawezekana vijana USIRI hamna.
4- yawezekana vijana HAMNA IMANI YA DINI.
5- Yawezekana nyinyi vijana betri zenu ni low charge.
 
Back
Top Bottom