Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulilala Bila kusali hiyo Hali itajirudia.. hapo Ni kwamba mwenye nyuma anaweza kuwa Ni wale WA Islam ambao huwa wanaakini kwenye ushirikina mpaka wasome dua au kuchinja mbuzi/kondoo ndo Mambo yatakaa SawaNipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,
tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati.
Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama sikuzingatia sana japo mwenzangu alikuwa anaweweseka sana kusema ni wachawi, mi wala sikujali.
Siku ya jana hali ilikuwa kawaida tu ila mwenzangu alianza kulala bila kuzima taa, nikabaki namshangaa.
Sasa na leo hali imejirudia kama ya juzi nilitoka nje kuangalia batini ila sikuona chochote, nikapotezea nikarudi kuchapa usingizi huku mwenzangu akiwa amepaniki usingizi wake umekata, ghafla tena hali ikajirudia nilitoka nje kama mshale nikiwa nimebeba kurunzi kumulika batini lakini sikuona chochote
Naombeni ushauri maana sielewi, mwenzangu ndio yupo hoi kabisa nahisi tanesco wakikata umeme atazimia.
Kabla ya kulala muwe mnasali na kama unajiweka mikononi mwa Yesu Kristo basi utalala kama mtoto. Ukiwasikia hao wanga sema “shindwa kwa Jina la Yesu “, halafu funika nyumba yako kwa Damu ya Yesu.Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,
tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati.
Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama sikuzingatia sana japo mwenzangu alikuwa anaweweseka sana kusema ni wachawi, mi wala sikujali.
Siku ya jana hali ilikuwa kawaida tu ila mwenzangu alianza kulala bila kuzima taa, nikabaki namshangaa.
Sasa na leo hali imejirudia kama ya juzi nilitoka nje kuangalia batini ila sikuona chochote, nikapotezea nikarudi kuchapa usingizi huku mwenzangu akiwa amepaniki usingizi wake umekata, ghafla tena hali ikajirudia nilitoka nje kama mshale nikiwa nimebeba kurunzi kumulika batini lakini sikuona chochote
Naombeni ushauri maana sielewi, mwenzangu ndio yupo hoi kabisa nahisi tanesco wakikata umeme atazimia.
zalau ❌ dharau✔️, amuishi❌ Hamuishi✔️, wasiwajalbu❌ wasiwajaribu✔️Shda vjana amuish vzuri na watu mnamajigambo zalau matusi kwa wat kwanin watu wasiwajalbu
Mpuuzi mmoja waislam wameingiaje hapo? Kenge maji WeweUlilala Bila kusali hiyo Hali itajirudia.. hapo Ni kwamba mwenye nyuma anaweza kuwa Ni wale WA Islam ambao huwa wanaakini kwenye ushirikina mpaka wasome dua au kuchinja mbuzi/kondoo ndo Mambo yatakaa Sawa
Kwasisi wakristo sali na soma biblia.. nakushauri anza na waefeso itakufaa Sana kupambana nao hata ukiwa ndotoni
Binafsi Mimi hicho kitu kiliwahi tokea kwenye nyumba flani ambayo tulihamia kumbe mwenye nyumba alikuwa bado hajayatuliza Mambo yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Shuguri ❌ shughuli✔️, Alafu❌ halafu✔️Amini nakwambia, mkojo ni kizuizi kikubwa sana kwa shuguri za mambo ya giza. Uncle bright afanye hivyo alafu aone kama hivyo vimbwanga vitaendelea ama vipi.
Sina maana mbaya.. lakini wenzetu Kuna namna huwa mpo karibu na Majini.. Jini kwenu sio adui kama ilivyokwetu ndo maana waislamu wengi wanamajini kuliko wakristo ni kitu ambacho nimekifamu kutokana na mazingira tofauti niliyokuliaMpuuzi mmoja waislam wameingiaje hapo? Kenge maji Wewe
Sawa kifimbo chezaShuguri [emoji777] shughuli[emoji3581], Alafu[emoji777] halafu[emoji3581]
Hapo sijui iwe ile nyingine sasa🤣Je ukisikia HATUA , zinatembea juu ya bati ?
Kwanza poleni kwa changamoto.Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,
tumeishi wiki moja bila tatizo ila kuanzia usiku wa juzi kulikuwa na shida, ni kama kuna ndoo iliyojazwa mchanga inamwagwa juu ya bati.
Siku ya juzi nilidhani labda ni ndege au mnyama sikuzingatia sana japo mwenzangu alikuwa anaweweseka sana kusema ni wachawi, mi wala sikujali.
Siku ya jana hali ilikuwa kawaida tu ila mwenzangu alianza kulala bila kuzima taa, nikabaki namshangaa.
Sasa na leo hali imejirudia kama ya juzi nilitoka nje kuangalia batini ila sikuona chochote, nikapotezea nikarudi kuchapa usingizi huku mwenzangu akiwa amepaniki usingizi wake umekata, ghafla tena hali ikajirudia nilitoka nje kama mshale nikiwa nimebeba kurunzi kumulika batini lakini sikuona chochote
Naombeni ushauri maana sielewi, mwenzangu ndio yupo hoi kabisa nahisi tanesco wakikata umeme atazimia.
Mkuu hakuna uchawi, hali ya wasiwasi anayojitengenezea mtu🏴Hivi nyie mnao amini hakuna uchawi ndio wachawi wenyewe au ni ujuaji wa kijing mnaleta. Uchawi umeandikwa hadi kwwnye misihafu na biblia bado wajinga flani wanakataa hakuna uchawi
Mkuu kabla haujaenda mbele zaidi, chunguza kama kuna popo maeneo yenu maana wana kawaida ya kupupu vijimbegu walivyokula wakati wanaruka.Nipo mkoani kikazi kuna ki apartment nimelipia mimi na mwenzangu mwezi japo kazi ni ya wiki 2 tu,