Baada ya kusimangwa sana na vijembe, muasisi wa 'CCM Mtandao' kaamua kuingia chumbani!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Karibia wiki mbili sasa, muzee wa Mutandawo kaamua kula kobis.

Kajiambia isiwe taabu, mi naenda zangu Msoga kupumzika maana huko chamani unafiki umezidi!

Kila baya narushiwa mimi,

Mara oooh mama Salima nimemtuma kuwania ubunge

Mara ooh Lizi namtafutia urais 2030

Mara ooh nimejiwekea mabilioni ya kula mpaka baada ya uhai huu kuisha

Mbaya zaidi ooh, ati nimemtenda Mapadlocks

Nasema sitaki miye, sitaki naenda pumzikaa!
 
Muzee.... Mzee. Mutandawo.... Mtandao. Zangi.... Zangu. Nimeishia hapo.
 
Hivi Kuna kupumzika kwa kula ufisadi alofisadi kipindi yupo ikulu ama kupumzika kwa kurejesha mali zote za wananchi?

Hii serikali ya Malawi, tutashuhudia mengi sana.
 
Tulishaaminishwa hapa jukwaani kwamba hatogombea na yupo chini ya ulinzi wa jeshi,

Mpaka sasa bado siku 37 kwenda kwenye uchaguzi
 
Ipo hivi. "Watoto wa mjini wakikaa kimya ni hatari sana kuliko wakiwa wanaongea ongea kwenye majukwaa"

Kishindo Cha ukimya wao huambatana na mambo mazito magumu.
 
Unaenda kupumzika msoga? Porini kote huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…