Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

Hatari sana
 
Maskini akipata matako hulia mbwata....

Apa wahenga walimaanisha akili sio matako....wakao akili za masikini ni kama matako tu,hazina akili kama chawa wa ccm.

Na 90% ya wafanyakazi wa serikali akili zao kama matako....
 
Najiuliza hayo mapato ambayo yanatokana na nyumba zake yanakwenda wapi?
Kama wamemtelekeza kwa nini asingeuza baadhi ya nyumba akapata pesa za kujikimu?!
 
Kuna mengi ya kujifunza kuhusu kustaafu
Kweli kabisa.
Inakuwa mbaya zaidi **** huna kipato, hata Kama so kikubwa Sana lakini Cha kuaminika.
Kwa mfano kuwekeza kwenye Treasury bonds; unaendelea kupata kipato cha uhakika.
 
Huyu ndo mim mtupu
 
Huyo mtoa stori ni muongo!Mzee kama ana nyumba mikoa mbali mbali si anakula Kodi tu na kuvuta dogodogo Moja maisha ya upweke unayatoa wapi Tena na mtonyo unao.
Mkuu kama una kitega uchumi cha nyumba za kupangisha unaweza kuelewa nini maana ya kuwa na nyumba za kupangisha na ukafa njaa.
mimi ndo maana naona ni heri uweke fedha yako kwenye bond kuliko kuendelea kujenga majengo ya kupangisha.
Sikatai kuna watu wamefanikiwa kujenga kwenye maeneo maalum ambayo yanashindaniwa kupangishwa,lakini maeneo mengine ukipata mpangaji unamshukuru Mungu.

Pia kuna ndugu wakishajua nyumba ni yako,wanapanga ndio
lkn akiwa na changamoto sahau kodi n.k
hivyo unaweza kufa njaa na nyumba unazo.
 
Dahh wanawake tuna roho mbaya sana muda mwingine aise!!

Sasa na hao watoto pamoja na utu uzima wao wameshindwa hata kung'amua jema na baya?!

Ila malipo ni hapa hapa duniani
 
Kunawanawake wabinafs sana aisee na kunawatoto akili hawana kabisa
 
Sahihi
 
Inaelekea migogoro na mkewe ndani ilianza kabla ya kustaafu. Na mwanamke akavumilia Kwa sababu alikuwa na lengo au aliwekeza huko kwao. Kwa kawaida kama alivyosema mdau hapo juu kuwa siku zote watoto huchagua upande wa mama hata akiwa muovu kiasi gani ndivyo ilivyotokea.
 
Mimi niko tofauti kidogo pesa ya ada nampa yeye anaenda kulipa risiti huwa nadai dec,pia matumizi ya nyumbani ni kila j2 tunafanya nae shoping ya wiki nzima....kwahiyo hapo hana namna ya kuniletea usanii
 
No woman no cry.🎶🎶🎶🎶🎶🤣🤣🤣🤣💺
 
Wanaume hapa mna cha kujifunza

1. Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke

2. Usioe Kwa mihemko

3. Mwanamke anasamehe ila hasahau, ukimfanyia ubaya Leo hasa ule wa kujirudia na akakutoa moyoni usitegemee km atakuja kugeuka nyuma na kukupenda kama awali. Upendo ukiisha umeisha Mazima tunaishi Kwa mazoea

Wanawake pia, tuna nafasi kubwa ya kuweka bond Kati ya Baba na mtoto.

Tunapokosea
Tunaweka tabaka Kati ya Baba na watoto. Mfano baba anatoa hela za mahitaji, chakula na Ada anampa mke Kwa ajili ya watoto. Mama na chuki zako unafanya km pesa umetoa mfukoni mwako n kwamba wewe ndiye unayehangaika kuhudumia familia

Hii inaweka mpasuko Kati ya Baba na watoto, usitegemee kama watoto watakuja kumjali baba yao ambaye waliona hakuwahi kuwajali na kuwapigania kama Baba zaidi watakaye mjali ni mama

NB. Ugomvi Kati ya wanandoa usiwahusishe watoto ili mmoja aonekane mzuri kuliko mwenzie. Pambaneni wenyewe
 
Kuna story kama hii pia Kisongo-Arusha....ila mke wa mzee ni Mmeru balaaa sana mzee ameamua kunywa banana tu sasa kupunguza mawazo
 
Hawa watakua wamachame tu wanawake wa kimachame ni wa kuogopwa kuna mama mmoja alikua na mumewe na wote walikua watumishi kanisani mama akazaa na padri kiburi kikaanza hapo kuna sku mumewe akampiga sababu alichelewa kurudi mama akamwambia mumewe hutanipiga tena baada ya hapo mzee alianza kudhoofu mpk akafa

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…