Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu ni kukaa kwa kujihami sana na hawa wanawake.Hahaaaaa, hiyo ndio mission yangu. Sasa nina miaka 40 nina nguvu ya kufanya kazi na kuhangaikia familia ila kila siku nawaza kuna siku nitaishiqa nguvu, je hawa watanisaidia au nitajisaidiaje? Nimeshaandaa akili yangu kuishi kipweke huko uzeeni japo nitavuta mtoto mbichi wa kunisofezea uzee wangu. Sasa natafuta pesa na kufanya kazi kwa nguvu kwani najua uzee upo na mateso ya uzeeni yapo. Sawa mke wangu hana shida ila ni binadamu, najiandaa kwa lolote lile.
Nashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.
Kuna mzee mmoja alikua jirani yangu, alikua mhandisi wa shirika moja kubwa hapa nchini
Mzee huyu kutoka kule migombani alioa mke wa migombani pia. Maisha yalikua mazuri wakati mzee bado anafanya kazi.
Alijenga nyumba mikoa mbalimbali na alijitahidi kuwasomesha watoto wake shule nzuri hizi za saint saint.
Watoto wake wote wana shughuli zao nzuri tu.
Baada ya kustaafu hapo ndo akaanza kuona rangi halisi ya mke wake. Kwanza alimtumia wakora wamfanye kitu mbaya ili mke arithi mali mapema bahati nzuri ndugu wa mume wakashtukia mapema mission ikabuma.
Tangu wakati huo mke akaanza kumtenga mume wake na kibaya zaidi hadi watoto wake aliowasomesha wakamtenga baba yao na kumsahau kabisa(sijui mama yao aliwaambia nini)
Dingi akaanza kunyimwa chakula, dingi akakimbiwa chumba na mke wake(alikua anatuambia vijana na kutuhasa juu ya makabila ya kuoa)
Baada ya muda mzee kaanza kurukwa na akili kwa maisha aliyokua anaishi.
Kwa sasa mzee karudi kwao lakini akili yake haiko sawa kaacha mali zote anaishi kijijini kwao. Watoto wake wamemtupa hawana time na baba yao
Je nini hasa wamama wanawaambia watoto wao kiasi cha watoto kuanza kumchukia baba yao na kumtenga ili hali aliwasomesha na kuwalea vizuri na juhudi zake waliziona.?
Hili ni janga kwenye familia nyingi baba akistaafu anaishi maisha magumu ya kunyanyasika juhudi zake zote alizofanya kujenga familia bora zinakua kazi bure anaishia kutengwa na kupata msongo wa mawazo na mwisho kufa.
KATAA NDOA NI UUAJI NA UTAPELI
Huyo kazingua unapoamua kutokuoa basi lazima utaweka mda wako kwenye kitu flani na hicho ndio kitakacho kufahamisha mtu mpaka utoe harafu inaonekana huna makuu kwenye jamii yako.Mawazo ya kijana masikini. Juzi tumemzika jamaa alikuwa na akili kama zako. Hakuwa na familia, alikufa n hkuna aliyejua hdi pale harufu ilipoanza kutoka ndani. Mazishi huwa saa 8 hadi 10 jioni kwa kawaida, ila jamaa amezikwa saa 5 kasoro. Bajeti ya msiba huwa kuanzia milioni 2 na kuendelea, ia jamaa bajeti ya msiba ilikuwa th 200,000 n watu waklewa. Amezikwa kama vile hkuwahi kuw na ndugu. Inasikitisha
Afadhali hata wewe umesema, kuna wazee wengine wakiwa kazini wanakuwa wababe hatari kwa wake zao, sasa akitaafu anahonga na kumaliza pesa yote sasa mke afanye nini hapo, kama anamajumba anashindwa nini kufaidika nayo!Kwani anashundwa Nini kuanza kutafuna hayo majumba aliyojenga?
Kwa mtazami wangu huyo Mzee kastaaafu Hana kitu na pension kahonga. Full stop
Kama bado yu hai hizo si bado ni zake , pole yakeNyumba alimilikisha watoto ambao ndo hao wamemtelekeza kwa hiyo kwa sasa hana uwezo wa kufuatilia tena amekua na tatizo la ugonjwa wa akili na hili limetokea miezi michache baada ya kustaafu ndo mke nae akaanza hapo hapo ukatili dhidi ya mume wake kwa kushirikiana na hao watoto wake. Na pia mzee alikuwa na watoto wengi
HaaaaaaMwanaume ni kama simba dume, ukishazeeka familia itakufukuza/kukuua na dume jingine litachukua mji wako
Acha wakome hujioana vidume mtu anastaafu mke ndiyo kwanza anaitafuta 40 kwa mbaali anategemea nini hapo, huku visukari juu, hapo hapo wakati ana afya alimtemi kwa ndoa, huwa tunasubilia uzeeni ha ha haaaaTatizo ni hili ukioa oa mwanamke ambaye umri mnakaribiana ili mkizeeka mnazeeka wote saaa wewe una 40 unaoa wa23 Miaka wewe una 60 mwezako ana 35 mtasumbuana tu
Na ukute alipostaafu alishauriwa akagoma na pesa zake akaenda kutumbua na vidosho sasa zikiisha ndiyo anaomba huruma kwa mke ha ha ha ukimkuta mwanamke kauzu lazima uwe omba omba.Mimi nimeona mzee akitelekezwa na watoto baada ya kustaafu!! Akawa anatembea mitaani kuomba omba buku!!
Wangapi ndugu zao wanawatenda, au watoto wa ndugu anawanyanyasa vyakutosha, sema nikumuomba Mungu akupe mwenza wa kufanana naye.Ni hivi mwanaume unatakiwa Kuwa mguu ndani mguu Nje,usiweke Nguvu kubwa Kwa mwanamke na Kwa jinsi Baadhi Yao walivyo maana pia huwezi wajua ,ni Bora ujiwekee akiba ya peke yako Ili kuja Kukabiliana na mambo kama haya huko uzeeni.
Mali zinashukiliwa na nani Kwa Sasa? Hapo pia najifunza kwamba ni Bora kuwa na mahusiano mema na ndugu zako woote lazima Kuna mmja atakusaidia.
Mwisho kwenye hao Watoto kama Kuna Wanaume basi wajiandae the same Destiny na watakuwa ni wapumbavu wa Haki ya Juu ila kama ni Wanawake tupu basi sio kesi.
Heeee!!!! 😳Aridhini tena aisee.... Hapo pagumu huwez chimbia zoteMkuu chimbia hata ardhini 😂😂
Ila hakikisha mwanaume hukosi fungu lako la kujisapoti mwenyewe wakati mambo yanapo geuka.
Nakubali blaza [emoji109] Tuishi nao kwa akili nyingi mnoMkuu,
All women are devils only your mother might be good to you, But she is still a devil to your father.
Wanawake wanataka waonekane wema hata kwenye ubaya.
Hii kaka umeongea sahihi kabisa aiseeeNashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.
Kuna mzee mmoja alikua jirani yangu, alikua mhandisi wa shirika moja kubwa hapa nchini
Mzee huyu kutoka kule migombani alioa mke wa migombani pia. Maisha yalikua mazuri wakati mzee bado anafanya kazi.
Alijenga nyumba mikoa mbalimbali na alijitahidi kuwasomesha watoto wake shule nzuri hizi za saint saint.
Watoto wake wote wana shughuli zao nzuri tu.
Baada ya kustaafu hapo ndo akaanza kuona rangi halisi ya mke wake. Kwanza alimtumia wakora wamfanye kitu mbaya ili mke arithi mali mapema bahati nzuri ndugu wa mume wakashtukia mapema mission ikabuma.
Tangu wakati huo mke akaanza kumtenga mume wake na kibaya zaidi hadi watoto wake aliowasomesha wakamtenga baba yao na kumsahau kabisa(sijui mama yao aliwaambia nini)
Dingi akaanza kunyimwa chakula, dingi akakimbiwa chumba na mke wake(alikua anatuambia vijana na kutuhasa juu ya makabila ya kuoa)
Baada ya muda mzee kaanza kurukwa na akili kwa maisha aliyokua anaishi.
Kwa sasa mzee karudi kwao lakini akili yake haiko sawa kaacha mali zote anaishi kijijini kwao. Watoto wake wamemtupa hawana time na baba yao
Je nini hasa wamama wanawaambia watoto wao kiasi cha watoto kuanza kumchukia baba yao na kumtenga ili hali aliwasomesha na kuwalea vizuri na juhudi zake waliziona.?
Hili ni janga kwenye familia nyingi baba akistaafu anaishi maisha magumu ya kunyanyasika juhudi zake zote alizofanya kujenga familia bora zinakua kazi bure anaishia kutengwa na kupata msongo wa mawazo na mwisho kufa.
KATAA NDOA NI UUAJI NA UTAPELI
Mimi nimeona mzee akitelekezwa na watoto baada ya kustaafu!! Akawa anatembea mitaani kuomba omba buku!!
Mjomba wako wa nchi gani? Wewe ni Mkenya wa mchongo?Hii ndio tunaita one sided story, tupe story ya upande wa pili, mwanaume ukiwekeza vizuri kwenye upendo kwa familia itakuja kukulipa siku za usoni.
Ni jambo nzuri kusomesha, ila kumbuka kuna mengine, acha kuhonga na mavituko ya hovyo huko nje, na kama una michepuko, basi ifanye siri sana, tumia nguvu nyingi kuficha.
Nina mjomba wangu kwa sasa yupo kijijini anakipata cha moto, ana bahati mkewe amebaki naye wanateseka wote maana mke kashikilia dini.
Mjomba alihonga sana enzi zake, na hakua anaifanya siri.