Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Mzee aende ustawi wajamii akamsemee mkewe. Wanaume huwa hatusemi maovu ya wanawake ila wao huwa wanatuchafua sana ndio maana sisi tunaonekana wabaya wao malaika.Nyumba alimilikisha watoto ambao ndo hao wamemtelekeza kwa hiyo kwa sasa hana uwezo wa kufuatilia tena amekua na tatizo la ugonjwa wa akili na hili limetokea miezi michache baada ya kustaafu ndo mke nae akaanza hapo hapo ukatili dhidi ya mume wake kwa kushirikiana na hao watoto wake. Na pia mzee alikuwa na watoto wengi
Na sisi miaka hii tumeamka kitofauti sana tunawaanika maovu yao vizuri tu hadharani. Lazima jamii ijue wanawake wamewekeza zaidi katika maisha yao binafsi kuliko ustawi wa mwanaume wake na familia kwa ujumla.