MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Mjomba wako wa nchi gani? Wewe ni Mkenya wa mchongo?
Kenya inaingilia wapi kwenye mada husika, tatizo mpo bado kwenye utumwa wa ukoloni hadi kila kitu mnawaza kwa misingi ya mipaka ya mkoloni.
Fahamu hamna kitu kinaitwa Tanzania au Kenya, vyote hivi vilibuniwa na mkoloni kisha akaondoka na kuacha maagizo mbaki ndani ya hiyo mipaka aliyoacha.