Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kuna maisha baada ya kushika pesa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sentensi ya mwisho ndio ya msingi sanaAll women are devils only your mother might be good to you, But she is still a devil to your father.
Mzee mmoja aliniambia kijana hata "Mama" awe mbaya na muovu kiasi gani na Baba awe mzuri kiasi gani, Siku zote watoto watakuwa upande wa Mama kumtetea maovu yake.
As a Man, lazima uwe na "back up plan" ya ku survive individually wakati wowote ule.
Katika hili suala mzazi anaweza kujishtukia ila pasiwe na tatizo lolote..Kuna mambo hayapo wazi kwenye hii story.
Ni lazima mzee kuna kitu alizingua,. Tuseme hajazingua kitu mtu una pesa na mali urukwe na akili kisa mke? Si umtimue watoto wake wamfate huko?
NIni hasa kinampa stress?
Hakuna mtoto ambae alikupenda tangu utoto wake aje kukubadilikia ukubwani bila sababu.
Kuna mambo ya ndani kabisa ambayo hayapo wazi hapa.
Unakuta watoto sio wake alichomekewa tu masikiniNashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.
Kuna mzee mmoja alikua jirani yangu, alikua mhandisi wa shirika moja kubwa hapa nchini
Mzee huyu kutoka kule migombani alioa mke wa migombani pia. Maisha yalikua mazuri wakati mzee bado anafanya kazi.
Alijenga nyumba mikoa mbalimbali na alijitahidi kuwasomesha watoto wake shule nzuri hizi za saint saint.
Watoto wake wote wana shughuli zao nzuri tu.
Baada ya kustaafu hapo ndo akaanza kuona rangi halisi ya mke wake. Kwanza alimtumia wakora wamfanye kitu mbaya ili mke arithi mali mapema bahati nzuri ndugu wa mume wakashtukia mapema mission ikabuma.
Tangu wakati huo mke akaanza kumtenga mume wake na kibaya zaidi hadi watoto wake aliowasomesha wakamtenga baba yao na kumsahau kabisa(sijui mama yao aliwaambia nini)
Dingi akaanza kunyimwa chakula, dingi akakimbiwa chumba na mke wake(alikua anatuambia vijana na kutuhasa juu ya makabila ya kuoa)
Baada ya muda mzee kaanza kurukwa na akili kwa maisha aliyokua anaishi.
Kwa sasa mzee karudi kwao lakini akili yake haiko sawa kaacha mali zote anaishi kijijini kwao. Watoto wake wamemtupa hawana time na baba yao
Je nini hasa wamama wanawaambia watoto wao kiasi cha watoto kuanza kumchukia baba yao na kumtenga ili hali aliwasomesha na kuwalea vizuri na juhudi zake waliziona.?
Hili ni janga kwenye familia nyingi baba akistaafu anaishi maisha magumu ya kunyanyasika juhudi zake zote alizofanya kujenga familia bora zinakua kazi bure anaishia kutengwa na kupata msongo wa mawazo na mwisho kufa.
KATAA NDOA NI UUAJI NA UTAPELI
Mkuu!Nashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.

Karibu Miss Goguryeo na AaliyyahNashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.

Umenena Kweli kbsa mkuuAll women are devils only your mother might be good to you, But she is still a devil to your father.
Mzee mmoja aliniambia kijana hata "Mama" awe mbaya na muovu kiasi gani na Baba awe mzuri kiasi gani, Siku zote watoto watakuwa upande wa Mama kumtetea maovu yake.
As a Man, lazima uwe na "back up plan" ya ku survive individually wakati wowote ule.
😂😂 AiseeKuna jamaa yangu alikua benchi,hata hela ya kula hana,anadaiwa kodi,.jamaa anahangaika kukopa ili asogeze siku hadi apate mishe, mke wake anamchora tu na kumpa moyo,jamaa akakuta kabatini mwanamke kaficha laki tisa,.900000/= nyekundu tupu..jamaa kapita nazo kimya kimya,.
Katika yooote uliyoyaandika HAPA sasa ndio Umetumia AKILI kubwa.KATAA NDOA NI UUAJI NA UTAPELI
Hiyo sentensi ya mwisho uliyo-bold ni upumbavu! Kosa la mke mmoja mpumbavu haliwezi kuhalalisha ubaya wa kuoa! Ubaya huwa mnafanya reference kwa watu waliofeli!Nashindwa sometimes kuelewa nini faida na umuhimu wa ndoa kama mambo yenyewe huwaga hivi.
Kuna mzee mmoja alikua jirani yangu, alikua mhandisi wa shirika moja kubwa hapa nchini
Mzee huyu kutoka kule migombani alioa mke wa migombani pia. Maisha yalikua mazuri wakati mzee bado anafanya kazi.
Alijenga nyumba mikoa mbalimbali na alijitahidi kuwasomesha watoto wake shule nzuri hizi za saint saint.
Watoto wake wote wana shughuli zao nzuri tu.
Baada ya kustaafu hapo ndo akaanza kuona rangi halisi ya mke wake. Kwanza alimtumia wakora wamfanye kitu mbaya ili mke arithi mali mapema bahati nzuri ndugu wa mume wakashtukia mapema mission ikabuma.
Tangu wakati huo mke akaanza kumtenga mume wake na kibaya zaidi hadi watoto wake aliowasomesha wakamtenga baba yao na kumsahau kabisa(sijui mama yao aliwaambia nini)
Dingi akaanza kunyimwa chakula, dingi akakimbiwa chumba na mke wake(alikua anatuambia vijana na kutuhasa juu ya makabila ya kuoa)
Baada ya muda mzee kaanza kurukwa na akili kwa maisha aliyokua anaishi.
Kwa sasa mzee karudi kwao lakini akili yake haiko sawa kaacha mali zote anaishi kijijini kwao. Watoto wake wamemtupa hawana time na baba yao
Je nini hasa wamama wanawaambia watoto wao kiasi cha watoto kuanza kumchukia baba yao na kumtenga ili hali aliwasomesha na kuwalea vizuri na juhudi zake waliziona.?
Hili ni janga kwenye familia nyingi baba akistaafu anaishi maisha magumu ya kunyanyasika juhudi zake zote alizofanya kujenga familia bora zinakua kazi bure anaishia kutengwa na kupata msongo wa mawazo na mwisho kufa.
KATAA NDOA NI UUAJI NA UTAPELI
Mdogowangu OA acha hizo 😀😀Karibu Miss Goguryeo na Aaliyyah