Baada ya kustaafu katelekezwa na mke na watoto wake. Anaugua ugonjwa wa akili kwa sasa

Kuna mambo hayapo wazi kwenye hii story.
Ni lazima mzee kuna kitu alizingua,. Tuseme hajazingua kitu mtu una pesa na mali urukwe na akili kisa mke? Si umtimue watoto wake wamfate huko?

NIni hasa kinampa stress?

Hakuna mtoto ambae alikupenda tangu utoto wake aje kukubadilikia ukubwani bila sababu.

Kuna mambo ya ndani kabisa ambayo hayapo wazi hapa.
 
Hiyo sentensi ya mwisho ndio ya msingi sana
 
Katika hili suala mzazi anaweza kujishtukia ila pasiwe na tatizo lolote..

Unakuta watoto hawana tatizo lolote ila walishajipata na wana maisha yao huko ...Kama unavyojua ukizaa mapema watoto haswa wa kiume wakipata maisha huwapati tena kama wamesoma shule ya gharama hapo wana maisha yao..
 
wanawake ni sumu kubwa katika maisha ya mwanaume,wanawalisha sumu watoto ingali wadogo, mzee aliyumba sasa ivi ukiwa na mkwanja mrefu .una jenga nyumba za kupangisha kama 50 baada ya hapo unatafuta mwanamke mwenye akili wa kuzaa naye ila sio wa kuoa full stop .hizo nyumba 50 zitakusaidia mpaka unaenda chini ,kwa kuwa mawe yatakuwepo utakuwa unagonga videmu kama kawa .watoto utawapa haki zao kila kitu.kuoa ni ufara afu ni uoga wa maisha kwanini upate ukichaa wa kujitakia? kataa ndoa ila zalisha masingo maza wawe wengi ili tupate utelezi wa bure
 
Unakuta watoto sio wake alichomekewa tu masikini

Watoto wakishaoneshwa baba yao na mitoto mingi ilivyo mipumbavu inavyomsikilizaga mama ni upuuzi mtupu
 
Mkuu!

Tatizo kubwa sana kwa sisi wanaume ni kwamba;-

Wakati tunawatongoza wake zetu,wanajua fika tulichowapendea ni nini!!

Kama ni matako,kama ni uzuri tu kama ni nini mwanamke anajua!!

Kimbembe ni sisi kwamba hatujuj kilichomfanya mwanamke akaamua kuishi na wewe ni nini hasa!!HADI utakapo zeeka na kustaafu ndio utajua hasa alikupendea nini!!?


Wanaume tunapendewa kazi,pesa na nguvu tulizonazo wala sio kingine ;ukikosa hayo thamani huna kabisa kwa mkeo!!!

Kuhusu WATOTO hao sio ndugu zetu kama tunavoaminishwa bali ni kopi ya heshima kwenye jamii!hao ni ndugu kwa mkeo ndio MAANA husema "hakuna kama mama"
 
Karibu Miss Goguryeo na Aaliyyah
 
Umenena Kweli kbsa mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Aisee
 
Hiyo sentensi ya mwisho uliyo-bold ni upumbavu! Kosa la mke mmoja mpumbavu haliwezi kuhalalisha ubaya wa kuoa! Ubaya huwa mnafanya reference kwa watu waliofeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…