Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Asante sana kwa maelezo mazuri ndugu.

Nadhani atakua ameelewa.
 
Single mama mwenye mtoto wa kike ni rahisi ukaiva na hako kabinti, ila wa kiume haji kua rafiki yako na akifanikiwa,atamwamisha mama yake hapo kwako...ref Diamond.

Ni sawa na mwanamke kwenda olewa na mwanaume mwenye mtoto wa kike.
Mhm bora mtoto wa kiume ..mtoto wa kike sii shetani anaweza kukupitia ukamkula huyo binti🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maelezo mengi lakini huwezi kuficha uhalisia kwamba single mother lazima Ipo siku arudiane na mwanaume aliye zaa nae na kumbariki utamu , ijapokuwa sipingi single mothers kuolewa lakini ukweli ni kwamba wengi wao hurudiana na wale walio zaa nao
 
Maelezo mengi lakini huwezi kuficha uhalisia kwamba single mother lazima Ipo siku arudiane na mwanaume aliye zaa nae na kumbariki utamu , ijapokuwa sipingi single mothers kuolewa lakini ukweli ni kwamba wengi wao hurudiana na wale walio zaa nao
Aise sasa mbona mnanitisha. Mie nataka nizae na single maza sasa mnaposema kuwa jamaa atakuwa anatomber hapo sii mtiha i huo jamani
 
Haaahaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]
 
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] kummmmk umemchoma bisu la mnduku mleta uzi
 
Single motherz wengine ni watulivu na watiifu wakiwa wanatafuta ndoa. Ile comfort ya ndoa wakishaizoea ndio mabalaa huanza sasa. Anachat na mi EX yake kama kazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hehehehehe
 
Mimba zinachomolewa tu

Wakifika kwenye ndoa wanaanza kutafuta dawa za kubeba mimba
Balaa tupu tu hili life....unatoa mimba kibao ukiingia ndani ya ndoa utatafuta mtoto mpaka unatamani kujiua[emoji848][emoji848]
 
Ila daah kuna single mother wengine wazuri, kuna mmoja mrangi alikuwaga mwembamba,kavamia mume wa mtu akazani ataolewa mke wa pili, kazalishwa kapigwa chini. Baada ya hapo kanawili nyonga imetanuka, bonge la shape.
Ha ha ha..hapo umetamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…