Hahaaahaaa huu uzi banaNatoa tahadhari mapema jamani wakuu.
Atakae hangaika kumuoa single mom wangu, hakika utakuwa umejisumbua bure.
Yule demu napiga muda na saa yoyote.
NB: siogopi kupakwa mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha uwiiiTatizo ukipishana Naye kidgo... Anajuwa kutafuta furaha njeee..Hapo no kazi! Ndoa Ina mambo mengi Sana. Single Maza kutokana na nature yake utakuta akimwona mwanae Lazma amkumbuke x wake tu
Kabisa.Ha ha ha..hapo umetamani
Haaahaaa [emoji16][emoji16][emoji16]Ana mtoto jinsia gani?
Kama ana mtoto wa kiume, usioe.
Aiseeee[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Single mama mwenye mtoto wa kike ni rahisi ukaiva na hako kabinti, ila wa kiume haji kua rafiki yako na akifanikiwa,atamwamisha mama yake hapo kwako...ref Diamond.
Ni sawa na mwanamke kwenda olewa na mwanaume mwenye mtoto wa kike.
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23]maana ake ni nini?Bora wewe alikwambia ni Single mother, kuna mwanamke aliniambia yeye ni Double mother, nilikimbia nusu kuvunja mguu!
Ni vizuri kusema mapema ili mlengwa aamue kuendelea au kuacha...Alitakiwa aseme tu mapema.
Uamuzi ni wako
Mtamu eeh? Thanks mamaHaaahaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Asee huu uzi mtamu sana!
What the fcuk. Mi si mwanamke bob. Acha kuassume mambo.Sawa singo maza
Sikumuelewa, nilihisi huenda nimedandia mtumbwi wa vibwengo, ikabidi mbio ziniokoe![emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23]maana ake ni nini?
What the fcuk. Mi si mwanamke bob. Acha kuassume mambo.
Umeanza vibaya tafuta mwingine.Wakuu
Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa
fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni
Naombeni ushauri.
Sometime Kama mwanaume inabidi uwe bandidu maana utafutaji wetu wa pesa inajengwa Sana na furaha tuipatayo kwa wake Sasa ukibugi hapo tu umebugi mfumo wa helaDuuh chief ulikuwa una maamuzi ya kiume.
Kweli kabisa inajengwa na home.Sometime Kama mwanaume inabidi uwe bandidu maana utafutaji wetu wa pesa inajengwa Sana na furaha tuipatayo kwa wake Sasa ukibugi hapo tu umebugi mfumo wa hela
Nimeshakuelewa mkuu %100.Pia mkumbushe tuu mtoto wakiume atatumia sana nguvu zako na hatokuja kukuthamini kama baba yake na wala uyo baba ake mzazi nayepia anaweza asimuwaze kabisa atamuwaza tu mama ake, kwaiyo akifanikiwa kimaisha kunyangaywa mke ni rahisi sana kama (diamond na mama ake)
Pia mtoto wakiume asipofanikiwa utaishi nae apo mpaka uchoke na kama hutozaaa watoto wakiume wengine na uyo single maza bas uyo ndo mrithi halali wa mali zako maana watoto wakike hua wanaolewa wanaondoka na waume zao tena wakiwa wanamali izo za nyumbani hua hawazi kabisa, ila wasipo olewa na wao huja kua single maza apo apoa kwako na hawatotoka ng'oo maana ndo kwao.
Faida za watoto wakike ni unaweza kukadanganya ukakapetpet mpaka kakakupenda wewe kuliko baba ake mzazi maana hawa viumbe wapogo kihisia sana kuliko kihualisia.
So single maza mwenye mtoto wakike ni mzuri zaidi kuliko mwenye watoto/mtoto wa kiume...japokua kuoa single maza nawe na huna mtoto wa pembeni ni hatari kwa afya ya akili zako otherwize mungu awe amekujalia hekma kubwa sana.