Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

Tatizo ukipishana Naye kidgo... Anajuwa kutafuta furaha njeee..Hapo no kazi! Ndoa Ina mambo mengi Sana. Single Maza kutokana na nature yake utakuta akimwona mwanae Lazma amkumbuke x wake tu
Hahaha uwiii
 
Single mama mwenye mtoto wa kike ni rahisi ukaiva na hako kabinti, ila wa kiume haji kua rafiki yako na akifanikiwa,atamwamisha mama yake hapo kwako...ref Diamond.

Ni sawa na mwanamke kwenda olewa na mwanaume mwenye mtoto wa kike.
Aiseeee[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
What the fcuk. Mi si mwanamke bob. Acha kuassume mambo.
FB_IMG_1661922181677~2.jpg
 
Wakuu

Nimekuwa na mahusiano ya takribani mwaka mmoja na mwanamke ninayempenda mpaka kufikia kuamua kutangaza ndoa
Kila kitu kuhusu kutambulishana kilishafanyika kwao na kwetu, mahari pia nimelipa japo sijamaliza yote lakini wazazi wamebariki tuendelee na mchakato wa ndoa

fedhea hii na madhira nayowezapata huko mbeleni

Naombeni ushauri.
Umeanza vibaya tafuta mwingine.
 
OYA ACHANA NA HUYO NG'OMBE... MUACHIE NA MAHALI... jifanye kidume funga nae ndoa utatokwa makamasi... Single maza sio wa kuoa ni kuwachezea tu maana hawana akili watakudanganya kwa mengi ila mwsho wa siku atakuletea migogoro ya kimaisha
 
Kuna kuzaa mtoto mmoja na kuna kutoa mimba 5. Kama anakufaa ruka naye.
 
Pia mkumbushe tuu mtoto wakiume atatumia sana nguvu zako na hatokuja kukuthamini kama baba yake na wala uyo baba ake mzazi nayepia anaweza asimuwaze kabisa atamuwaza tu mama ake, kwaiyo akifanikiwa kimaisha kunyangaywa mke ni rahisi sana kama (diamond na mama ake)

Pia mtoto wakiume asipofanikiwa utaishi nae apo mpaka uchoke na kama hutozaaa watoto wakiume wengine na uyo single maza bas uyo ndo mrithi halali wa mali zako maana watoto wakike hua wanaolewa wanaondoka na waume zao tena wakiwa wanamali izo za nyumbani hua hawazi kabisa, ila wasipo olewa na wao huja kua single maza apo apoa kwako na hawatotoka ng'oo maana ndo kwao.

Faida za watoto wakike ni unaweza kukadanganya ukakapetpet mpaka kakakupenda wewe kuliko baba ake mzazi maana hawa viumbe wapogo kihisia sana kuliko kihualisia.

So single maza mwenye mtoto wakike ni mzuri zaidi kuliko mwenye watoto/mtoto wa kiume...japokua kuoa single maza nawe na huna mtoto wa pembeni ni hatari kwa afya ya akili zako otherwize mungu awe amekujalia hekma kubwa sana.
Nimeshakuelewa mkuu %100.
 
Back
Top Bottom