Baada ya kutangazwa rasmi hapo Ijumaa maeneo yapo chini ya Russia ndipo upo uwezekano wa kutangaza vita rasmi

Baada ya kutangazwa rasmi hapo Ijumaa maeneo yapo chini ya Russia ndipo upo uwezekano wa kutangaza vita rasmi

IMG_8107.jpg
 
Wewe sio bure una viashiria kabisa watu wanakupasua...nafatilia sana post zako ni lazima utaje mashoga...kama kweli unapasuliwa mtu wangu njoo inbox tuyajenge
Kwa msaada wa watu wa marekani unatembeza mnato??? Warusi wa buza hatutumii hio asee
 
Putin anataka kumaliza vita kwa hiyo ameona amalize vita kwa kuchukua hayo maeneo
Hayo ndio marupurupu ya Vita, huenda akawa tayari kwa mazungumzo ila ni ngumu Ukraine akubali labda ashinikizwe na nchi za ulaya magharibi.
 
Urusi alishakosea na anaendelea kukosea kwasababu atapigwa sana mpaka atoke.

Bomba la gesi limepasuliwa.
Anayepata hasara hapa ni Ulaya kwa maana itabidi Gesi izimwe ili maintenance ifanyike..na majira ya baridi kali ndyo yanaanza
 
Back
Top Bottom