Ndugu acha ukaidi, huyo ni mkeo na effect wanapata watoto wako hapa humuadhibu mkeo unawaadhibu watoto. Jaribu kufikiria watoto kuamshwa asubuhi wakati wanatakiwa walale na up and down za watoto kwenda na kurudi wakati wanatakiwa wapumzikeHii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa
Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi
Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe.
Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu namzingua ili aende mchana maana kwao sio mbali hivo.
Sasa mm nikawa sijapenda yeye kuwaamsha watoto asubuhi maana sherehe ilikuwa ni siku inayofuata.
Basi tukazinguana kidogo nikampiga kofi la uso sababu ya kuamsha watoto kwa nguvu.
Nikamwambia kama anaenda aende ila asijekurudi tena.
Basi nikaingia zangu job nikarudi jioni nikakuta kasepa zake kachukua hela tuliyokuwa tumeitunza mahali kama 50 hivi.
Basi mm nikamkumbusha tu asijekuwahi kurudi.
Basi baada ya siku kadhaa akaniomba nimtumie nauli arudi.
Mm nimemwambia nauli situmi aje tu kwa nauli yake ila pia akija lazima nitamuadhibu. Kwa kukaidi amri yangu.
Basi tuishie hapo twende kwenye ndoto.
Nilikuwa na mtoto wangu wa kike mdogo hivi tupo kama pembezoni mwa mto wa maji yanayotembea sasa mtoto alikuwa anacheza uchi kwenye kina kifupi cha maji yanayotembea kwa kasi, ghafla nikamuona akijitupia kina kirefu na kuzama nilikuwa umbali kidogo kama mita 10 hivi basi ikabidi nikimbie na kwenda kuwahi kwa mbele kidogo nikapeleka mikono kama kuotea tu, ila nikafanikiwa kumshika nikamnyanya juu akawa anatapika yale maji na kulia. Basi nikatoka nae kwenye maji na kuelekea nyumbani.
Na usingizi ukakata ghafla.
Je hii ndoto inamaana gani?
Sipendi kutengana na mke wangu ila naona kama hakuna namna nyingine ugomvi ni umekuwa sehemu ya maisha yetu kila siku.
“Unaumia, lakini bado unampenda. Na ndani yako kuna hofu ya kupoteza kabisa familia.”
Ujinga wa mwafrika, bado hujaelimika mchawi wewe.Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa
Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi
Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe.
Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu namzingua ili aende mchana maana kwao sio mbali hivo.
Sasa mm nikawa sijapenda yeye kuwaamsha watoto asubuhi maana sherehe ilikuwa ni siku inayofuata.
Basi tukazinguana kidogo nikampiga kofi la uso sababu ya kuamsha watoto kwa nguvu.
Nikamwambia kama anaenda aende ila asijekurudi tena.
Basi nikaingia zangu job nikarudi jioni nikakuta kasepa zake kachukua hela tuliyokuwa tumeitunza mahali kama 50 hivi.
Basi mm nikamkumbusha tu asijekuwahi kurudi.
Basi baada ya siku kadhaa akaniomba nimtumie nauli arudi.
Mm nimemwambia nauli situmi aje tu kwa nauli yake ila pia akija lazima nitamuadhibu. Kwa kukaidi amri yangu.
Basi tuishie hapo twende kwenye ndoto.
Nilikuwa na mtoto wangu wa kike mdogo hivi tupo kama pembezoni mwa mto wa maji yanayotembea sasa mtoto alikuwa anacheza uchi kwenye kina kifupi cha maji yanayotembea kwa kasi, ghafla nikamuona akijitupia kina kirefu na kuzama nilikuwa umbali kidogo kama mita 10 hivi basi ikabidi nikimbie na kwenda kuwahi kwa mbele kidogo nikapeleka mikono kama kuotea tu, ila nikafanikiwa kumshika nikamnyanya juu akawa anatapika yale maji na kulia. Basi nikatoka nae kwenye maji na kuelekea nyumbani.
Na usingizi ukakata ghafla.
Je hii ndoto inamaana gani?
Sipendi kutengana na mke wangu ila naona kama hakuna namna nyingine ugomvi ni umekuwa sehemu ya maisha yetu kila siku.
Hakuna kitu kinaniumiza na kunisikitisha hususan ni wanaume kutreat wanawake kama watoto wadogo. Mwanamke unayelala naye hata kama unamzidi miaka 50 ni mkubwa mwenzako. Kejeri kama 'nikampiga kofi la uso' zinaonesha dharau. Mwanaume ukitaka kumheshimu mwanamke, kumbuka siku ukiwa na upwiru unavyohangaisha. Acheni hizo, watoto ndiyo wanapigwa si watu wazima kama wewe.Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa
Ni mwezi mmoja sasa unaishia toka ameenda kwao mpaka sasa hajarudi
Kisa cha kutorudi ni kwasababu wakati anaondoka nilimwambia asiende hivo nikakuta ameenda kwao kulikuwa na sherehe.
Lengo ilikuwa sio kumzuia lengo nilikuwa tu namzingua ili aende mchana maana kwao sio mbali hivo.
Sasa mm nikawa sijapenda yeye kuwaamsha watoto asubuhi maana sherehe ilikuwa ni siku inayofuata.
Basi tukazinguana kidogo nikampiga kofi la uso sababu ya kuamsha watoto kwa nguvu.
Nikamwambia kama anaenda aende ila asijekurudi tena.
Basi nikaingia zangu job nikarudi jioni nikakuta kasepa zake kachukua hela tuliyokuwa tumeitunza mahali kama 50 hivi.
Basi mm nikamkumbusha tu asijekuwahi kurudi.
Basi baada ya siku kadhaa akaniomba nimtumie nauli arudi.
Mm nimemwambia nauli situmi aje tu kwa nauli yake ila pia akija lazima nitamuadhibu. Kwa kukaidi amri yangu.
Basi tuishie hapo twende kwenye ndoto.
Nilikuwa na mtoto wangu wa kike mdogo hivi tupo kama pembezoni mwa mto wa maji yanayotembea sasa mtoto alikuwa anacheza uchi kwenye kina kifupi cha maji yanayotembea kwa kasi, ghafla nikamuona akijitupia kina kirefu na kuzama nilikuwa umbali kidogo kama mita 10 hivi basi ikabidi nikimbie na kwenda kuwahi kwa mbele kidogo nikapeleka mikono kama kuotea tu, ila nikafanikiwa kumshika nikamnyanya juu akawa anatapika yale maji na kulia. Basi nikatoka nae kwenye maji na kuelekea nyumbani.
Na usingizi ukakata ghafla.
Je hii ndoto inamaana gani?
Sipendi kutengana na mke wangu ila naona kama hakuna namna nyingine ugomvi ni umekuwa sehemu ya maisha yetu kila siku.
Hivi wanaume wenzangu huwa mnapata wapi ujasiri wa kuwapiga wake zenu! Sasa ishu ya kuwaamsha tu watoto asubuhi ili aende nao nyumbani kwa wazazi wake kwenye sherehe, ndiyo umpige kofi!Hii ndoto nimeiota saa nane usiku na usingizi ukayeyuka kabisa