Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu failure kashindwa hata kutoa license kwa starlink ili nchi nchi nzima tupate high speed internet bila kupimiana MB, alitakiwa apigane ili starlink walete service yao nchini lakini kwa akili zero alizonazo alikuwa kikwazo, nimefurahi sana limepigwa chinir
Huyu jamaa ni zero kabisa. Nadhani huwa anakula cha juu kwenye makampuni ya simu, kwa sasa yanajiumulia kila kitu ikiwa ni pamoja na wizi wa data. Starlink walitaka kuleta huduma za bei rahisi Waziri anakomaa eti waanzishe ofisi Tanzania. Ujinga mtupu.
 
Nimechekaaaaaa mbavu zinauma...lol 😂 😆 eti anakuwa kama Lucas Mushambwa
 
Wakuu,


Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Atasingizi kuwa amepokea maelekezo toka juu
 
Back
Top Bottom