Ghost Mwita
Member
- Jul 14, 2024
- 11
- 8
Siasa maji taka ndo hii ya apa bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili neno maana yake Matako kwahivyo unapoamua kujibizana na watu kwanza ondoa uoga.. matusi si kitu ninacho hofia maana mjinga yoyote yule anaqeza tukana ,hata mimi nikiamua kuwa mjinga ningeweza kukushushia matusi.hivi unatumia kichwa kufikiri ama masaburi?
Hapo ni mwendo wa Sub tu naona Sub ya Miguu ya Chemba inanukia ndio maana kila siku anapandisha uzi JF kujitetea asipigwe SubSijui kwanini Makamba, Nape na Mwigulu wanaogopwa sana katika siasa za Fisiemu zama hizi. Mbona wachache tu wale.... Samia kaogopa hakuna cha uwajibikaji wala visingizio gani.
Nakubali Familia.Kula chuma hicho
Harafu mwambie alokutuma arudishe ukurasa wake wa Twitter ili tumpige spana vizuri akutume wewe kilaza mwenzake
Namtamani sana hii Triangle ndo adui namba 5 wa maendeleo ya nchi hii.Hapo ni mwendo wa Sub tu naona Sub ya Miguu ya Chemba inanukia ndio maana kila siku anapandisha uzi JF kujitetea asipigwe Sub
Miguu ya Chemba kakalia Kuti kavu na yule karibu Mkuu Kiongozi nimeongea kishambaaNamtamani sana hii Triangle ndo adui namba 5 wa maendeleo ya nchi hii.
Sema huyu Miguli ndo Sugu sana, sijui kama Mama Abdul atamchomoa maana huwa nasikia ni Maswaiba.Miguu ya Chemba kakalia Kuti kavu na yule karibu Mkuu Kiongozi nimeongea kishambaa
Roboti la matope?Nasikia anajiseme na kuwaletea roboti lakini bado mmenitoa.... woiiiiiii
Tena wewe ndiyo mshirika mkuu wa kuangalia pornography ndiyo maana unatumia nguvu nyingi kukataa 😃😃😃😃😃😃Una upumbavu mwingi ewe tapeli.
Kwa hio Makamba na Nape sio Maswahiba?Sema huyu Miguli ndo Sugu sana, sijui kama Mama Abdul atamchomoa maana huwa nasikia ni Maswaiba.
ChamwinoSijui atatembea kwa miguu Ikulu ipi sasa
Swaiba wa Mama.Kwa hio Makamba na Nape sio Maswahiba?
Yupo?Swaiba wa Mama.
NgeseWakuu,
Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA![]()
![]()
. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Kweli madaraka matamu Wakuu.
Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?
Sa itakuaje!![]()
Nani?Yupo?