Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna muda muwe mnatumia akil vizuri.
STarlinkni operate hapa nchini ,hizo pesa serikali ilizowekeza kwenye mkongo wa taifa zitarudi vipi?? Utalinda vipi makampuni ya ndani especially TTCL ,yan pesa zoote zitoke humu ndani ziende nje ??

Tuache ujinga wakat mwingine wa kutofikiria sawa sawa.

Inachokosea sana serikal ni namna inavyoshindwaa kuwabana haya makampuni ya ndani kama providers mpaka wanakua wanafanya mambo pasipo weredi lakin kuhusu starlink kunyimwa leseni , naunga mkono 100%.
Acha wote wawepo ili washindane vzr kutoa huduma. Wananchi ndo watachagua wap waende.
 
Kwamba nchi zilizokubali starlink zenyewe hazina mkonga wa taifa au hazijawekeza? Unapokuwa na bidhaa nyingi sokoni ndio mteja anapata wigo mpana wa kuchugua bidhaa ambayo ni quality kwa bei affordable,hivyo basi inabidi tuwe na ushindani
Uki sahihi, lakin unapaswa kufanya hili ukiwa unafikiria namna ya kuwalinda wawekezaji wa ndani, ndio maana nikakubalkwa hil serikal kuna mahala inakosea, lakin pia iko sahihi. Huwek karibisha upinzani /competition while you fully understand that you, yourself are not competitive hence u cant win
Kuna watu wengine hawajui hata ttcl wanajua voda,tigo Airtel na halo,kama ni Swala La hasara kwanini serikali isiwazuie hao private company maana hakuna tofauti kati ya hao kina voda na starlink
kama ulikua hujui, naomba leo nikufahamishe, TTCL ndio mother provider wa internet tanzania hi. Wote hao akina vida n the likes, primary orovider wao ni TTcl.
So ttcl ni mmiliki wa internet infrastructure yoote inayo feed hao akina voda.. mkongo wa Taifa
 
🤣😁😁kakimbia spana za wadau huyu bumunda
20240710_144419.jpg
 
Wanasiasa ní kama ndugu, wakigombana shika jembe kalime. Nape na Makamba wametokea sebuleni, wataibukia chumbani mshangae.
 
Sijui kwanini Makamba, Nape na Mwigulu wanaogopwa sana katika siasa za Fisiemu zama hizi. Mbona wachache tu wale.... Samia kaogopa hakuna cha uwajibikaji wala visingizio gani.
 
Back
Top Bottom