Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hao Vijana mimi sioni kilichoharibika nashangaa jamii inatafakari sana, hawa ni muhimu kuliko hata Samia mwenyewe kwenye propaganda za Fisiemu.

Sasa ushawah ona wapi Mshambuliaji wako unaeaminia umchezeshe mechi za kitoto wamvunje wakat soon kuna finali, lazima umlinde kwa kumpumzisha🤣
 
Wewe umeona kipofu
 
Huyu failure kashindwa hata kutoa license kwa starlink ili nchi nchi nzima tupate high speed internet bila kupimiana MB, alitakiwa apigane ili starlink walete service yao nchini lakini kwa akili zero alizonazo alikuwa kikwazo, nimefurahi sana limepigwa chini
Kuna muda muwe mnatumia akil vizuri.
STarlinkni operate hapa nchini ,hizo pesa serikali ilizowekeza kwenye mkongo wa taifa zitarudi vipi?? Utalinda vipi makampuni ya ndani especially TTCL ,yan pesa zoote zitoke humu ndani ziende nje ??

Tuache ujinga wakat mwingine wa kutofikiria sawa sawa.

Inachokosea sana serikal ni namna inavyoshindwaa kuwabana haya makampuni ya ndani kama providers mpaka wanakua wanafanya mambo pasipo weredi lakin kuhusu starlink kunyimwa leseni , naunga mkono 100%.
 
Back
Top Bottom