Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
KIBURI, KIBURI, KIBURI, KIBURI, kilichomtoa shetani Mbinguni ni KIBURI, huyu jamaa KIBURI kilimfikisha pabaya sana, bado yule mwenzie mkuu wa HAZINA..... hata chama chake walisha mchika...
 
Attachments

  • VID-20240719-WA0007.mp4
    2.8 MB
Wakuu,

Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Jamani wakuu humu JF, kuna yeyote mwenye namba ya Gilbert Kalanje, nataka kumwambia kuna jambo lake huku, kuna jamaa anataka kuitisha "PRESS" na waandishi, shime aje haraka.
 
Wakuu,

Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Hajawahi kuwa na aibu wala akili ya kujitegemea
 
Back
Top Bottom