Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
E16C71EC-75EE-4EEB-AECE-C80F929CC719.jpeg

Hata ngekuwa mm nngefuta😄
 
Wakuu,


Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Ni hivi kila aliye tumika kwa njia moja au nyingine kumdhihaki Dkt Magufuli nadhani malipo hapa hapa duniani. Huwezi kabisa hata kidogo una akili ukasema eti Mungu kaamua ugomvi hahahaha
 
Back
Top Bottom