Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hao Vijana mimi sioni kilichoharibika nashangaa jamii inatafakari sana, hawa ni muhimu kuliko hata Samia mwenyewe kwenye propaganda za Fisiemu.

Sasa ushawah ona wapi Mshambuliaji wako unaeaminia umchezeshe mechi za kitoto wamvunje wakat soon kuna finali, lazima umlinde kwa kumpumzisha🤣
Hawana umhimu wowote
 
Kuna muda muwe mnatumia akil vizuri.
STarlinkni operate hapa nchini ,hizo pesa serikali ilizowekeza kwenye mkongo wa taifa zitarudi vipi?? Utalinda vipi makampuni ya ndani especially TTCL ,yan pesa zoote zitoke humu ndani ziende nje ??

Tuache ujinga wakat mwingine wa kutofikiria sawa sawa.

Inachokosea sana serikal ni namna inavyoshindwaa kuwabana haya makampuni ya ndani kama providers mpaka wanakua wanafanya mambo pasipo weredi lakin kuhusu starlink kunyimwa leseni , naunga mkono 100%.
Hiki ulichoandika ni proof kwamba upumbavu ulio nao hauwez kutoka..!
 
Kuna muda muwe mnatumia akil vizuri.
STarlinkni operate hapa nchini ,hizo pesa serikali ilizowekeza kwenye mkongo wa taifa zitarudi vipi?? Utalinda vipi makampuni ya ndani especially TTCL ,yan pesa zoote zitoke humu ndani ziende nje ??

Tuache ujinga wakat mwingine wa kutofikiria sawa sawa.

Inachokosea sana serikal ni namna inavyoshindwaa kuwabana haya makampuni ya ndani kama providers mpaka wanakua wanafanya mambo pasipo weredi lakin kuhusu starlink kunyimwa leseni , naunga mkono 100%.
Wewe ndio huna akili, kwani hela za Vodacom zinabaki hapa Nchini, Halotel je?

Sasa hata hao Starlink wasipokuja na TTCL hawezi kazi hiyo hela ya mkongo wa taifa itarudi vipi kama ttcl biashara hawezi?

Kama serikali inawekeza kwenye mkono na bado watu hawaoni faida yake, hilo hela zitarudi lini, kwa kuwanyima Starlink leseni?

Wewe mwenyewe unasema serikali imeshimdwa kutabana makampuni ya ndani kunyonya wananchi lakini wakati huo huo unasema operators wengine ambao wana bei ndogo wazuiliwe kuingia sokoni kuwasaidia ama kuwapa watu huduma ya bei nafuu, hivi unatumia kichwa kufikiri ama masaburi?
 
Wakuu,

Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Kuna nyaraka ya siri nataka nikupenyezee
 
Kuna muda muwe mnatumia akil vizuri.
STarlinkni operate hapa nchini ,hizo pesa serikali ilizowekeza kwenye mkongo wa taifa zitarudi vipi?? Utalinda vipi makampuni ya ndani especially TTCL ,yan pesa zoote zitoke humu ndani ziende nje ??

Tuache ujinga wakat mwingine wa kutofikiria sawa sawa.

Inachokosea sana serikal ni namna inavyoshindwaa kuwabana haya makampuni ya ndani kama providers mpaka wanakua wanafanya mambo pasipo weredi lakin kuhusu starlink kunyimwa leseni , naunga mkono 100%.
Kwamba nchi zilizokubali starlink zenyewe hazina mkonga wa taifa au hazijawekeza? Unapokuwa na bidhaa nyingi sokoni ndio mteja anapata wigo mpana wa kuchugua bidhaa ambayo ni quality kwa bei affordable,hivyo basi inabidi tuwe na ushindani kwenye hizo bidhaa Ili tuchague ipi ni nzuri,Kuna watu wengine hawajui hata ttcl wanajua voda,tigo Airtel na halo,kama ni Swala La hasara kwanini serikali isiwazuie hao private company maana hakuna tofauti kati ya hao kina voda na starlink
 
Sasa hao Wanausmart gani ukitoa wazazi wao kuwa wahenga wa CCM Wana sifa gani ya ziada maana hao hata form four walifeli na Bado wakafoji vyeti ili waendelee kusoma
Kwahiyo kufaulu Fizikisi na Hisitori vinahusianaje na Usmart wa Siasa?

Samia alifaulu?
 
Back
Top Bottom