Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Pre GE2025 Baada ya kutenguliwa Nape kaamua mazima na kufuta account yake X (Twitter)?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Hii issue kuna uwezekano mkubwa ina uhusiano na kile kilichowahi kusemwa na Mkuu mmoja wa Mkoa

Watu wakumbuke kipindi kile cha JPM; almost watu wale wale na kwa mambo yale yale
 
Wakuu,

Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Kwenye siasa inatakiwa uwe tayari kwa kila jambo kama mwanajeshi vitani. Unapoteuliwa unakua surprised and unapotenguliwa pia unakua surprised.

Vivyo hivyo, inatakiwa uwe mvumilivu unapopigwa mawe kwenye mitandao na jibu hoja za watu pasipo kutusi au pasipo kuonyesha wewe ni bora kuliko wengine.

Natamani viongozi wanaoteuliwa wapate kujifunza namna ya kuongea public hasa wakipewa maiki ku-present jambo sensitive kwenye jamii.

Ukiteuliwa au ukachaguliwa kua kiongozi haimaanishi wewe ni malaika au wewe ni mwenye akili kuliko wengine ambao hawapo kwenye hiyo nafasi.

Zaidi zaidi inatakiwa wanaoteuliwa wajue sisi wote tupo kwa kuijenga Tanzania, Tanzania haijengwi na viongozi peke yao bali kila mwananchi raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania analohilo jukumu.
 
Mnaofurahia mnafurahi bure kabisa, nape anarudi chamani kwenda kuongeza nguvu!, huenda akakabidhiwa kanda ya ziwa kichama!
 
Wakuu,

Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kweli madaraka matamu Wakuu.

Kwahiyo na yeye saivi anaanza kuwa Lucas Mwashambwa kumsifia mama na kulamba miguu yake mpaka aje kulamba tena teuzi?

Sa itakuaje!:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Ameshauriwa na daktari wake wa afya ya akili. Hii kwake ni aibu na imemfedhehesha sana yeye na familia yake. Tuendelee kumuombea, yeye ni binadamu tu kama mimi na wewe.
Si jambo la kuchekelea wala kushangilia.
Rais ana mamkla ya kuteua na kutengua, na hakuna shida na hapaswi kuytoa sababu.
 
Tangu SSH aingie madarakani kwa mara ya kwanza amenikuna sasa nami nampapasa
 
Dah aisee.
Kuna mdau mmoja humu nimemsahau jina aliwahi kutabiri utenguzi wa Nape mwezi ulioisha kuna watu wanajua kuchungulia mambo
 
Back
Top Bottom