Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kuhamia CUF, Lwakatare atikisa Bukoba Mjini. Wananchi wakanyagana mkutanoni

Kuna kujaa ili kumshangaa mtu mjinga. Labda huo nao ni umaarufu.
 
Alichokisema lwakatare jana ni ukweli mtupu,akili za machadema zimejaa plastiki kwao uzushi na uongo ni sera za chama.Ona huyu pimbi anavyokurupuka,huo ni mkutano wa lwakatare?

Nini tofauti ya akili zako na za nguruwe pori( ngiri)?Lwakatare ndio baba wa siasa za bukoba,nyie manyumbu wa chadema lazima mkae.
Mbona kama Umepanic?
 
M
Picha huongea zaidi kuliko maneno matupu , jionee mwenyewe .

View attachment 1469795
Mkuu picha imepigwa kishabiki mno, mpiga picha kakaa mbali sana. Halafu kumbe mikutano inaruhusiwa sasahivi, pia inabidi kwasisi matomaso uongeze ushahidi kuwa huo ni mkutano wa Rwakatare na si mkutano wa injili
 
Mbona jukwaa Lina rangi ya bendera yetu kwenye stairs.

I doubt ukweli wa picha hii.

Kama ya mbio za mwenge.
 
Back
Top Bottom