Tetesi: Baada ya kutishwa, Ruge Mutahaba muda mfupi ujao anaenda kupingana na ushahidi uliokuwepo

Status
Not open for further replies.
Nyote mnaosema GENTAMYCINE mzushi na mwongo naomba anzeni kwanza na wale ambao jana walikuja humu na threads nyingi wakisema kuwa Ruge Mutahaba alikamatwa na akaenda Central Police na bahati nzuri Ruge Mutahaba muda huu huu amepinga na kasema kuwa hakuenda Central Police na aliishia tu Oysterbay kutoa maelezo. Hivyo kabla ya kukurupuka na GENTAMYCINE basi anzeni kwanza na WAZUSHI wa threads za jana ambazo hata sasa hivi bado zipo na zina trend. Nimefurahi mno Ruge Mutahaba kuweza kufunguka na sasa lengo langu kuu la kutaka kujua ukweli juu ya hili limetimia na sasa sina tena Ugomvi na Mtani wangu Ruge kwani angeenda kinyume nilikuwa tayari nina Makombora yangu ya IBM ( Intercontinental Ballistic Missals ) nimeyaandaa dhidi yake. Ana bahati mno Mtani wangu!

Nimwombe tu Makonda kuwa atoke sasa Kwake Masaki na aende IKULU kwa Rais amwambie kuwa IMETOSHA na atuachie Mkoa wetu kwani kwa maelezo KUNTU ya Ruge ni dhahiri kuwa Paul Christian Makonda HATOSHEI na AMETOKOTA.

Rais JPM fukuza Kazi upesi Makonda.
Intercontinental Ballistic Missals ndiyo nini mjuzi wa mambo na msomi uliyetukuka?
 
Mkuu hamtetei. Hebu sikiliza anavyomkaanga Bashite. Na bado Nape naye yupo ndani ya nyumba akisubiri zamu yake ya kukaanga.

Hiyo ni furaha kubwa Kwangu na naona NIMEFANIKIWA na kwa alichokisema Ruge Mutahaba ukiongezea huo Ugeni wa Wazini Nape sasa nina UHAKIKA kuwa Mkuu wa Mkoa Paul Christian Makonda hana zaidi ya siku tatu ( 3 ) zijazo Kazini. Rais JPM nadhani sasa UTATUELEWA Watanzania kuwa Makonda HATOSHEI na HAFAI kuwa Mkuu wa Mkoa na tafadhali MTUMBUE.
 
Katika hali ya kushangaza kabisa baada ya tukio zima la kutia aibu kama siyo pia la kusikitisha ambalo lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( siyo jina lake halisi ) juzi usiku katika Kituo cha tv cha Clouds muda mfupi ujao Bosi na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti Bwana Ruge Mutahaba anaenda kumtetea Makonda.

Kwa habari za Kiuchunguzi kabisa zinasema kwamba ni kweli tukio lilifanyika na hata Mabosi Wakuu wa Clouds Media Group Kusaga na Mutahaba walikasirishwa mno na Kiktendo kilichofanywa na Makonda lakini baada ya mmoja wao kuitwa na KUTISHWA na wenye Mamlaka na hii nchi hatimaye Ndugu Ruge Mutahaba amekubali KUUPINDISHA ukweli wote ambao kimsingi Watanzania wengi tumeuona.

Katika Interview ambayo Ruge Mutahaba anaenda kuifanya muda mfupi ujao tegemeeni haya yafuatayo:

  1. Anaenda kumtetea kwa nguvu zote Makonda huku akitumia muda mwingi kumsifia.
  2. Anaenda kusema tukio halikutokea Clouds bali lilitengenezwa tu.
  3. Anaenda kusema Makonda hana Uadui na Clouds Media Group.
  4. Anaenda kusema Makonda anafanya Kazi nzuri kwa Tanzania.
  5. Anaenda kumgeuka Mchungaji Gwajima kwa nguvu zake zote.
Ili kuonyesha kuwa Clouds Media Group WAMETISHWA kinyume na hali ambayo ilikuwepo jana asubuhi Ofisini Kwao ambapo karibia Wafanyakazi wote walihamaki na kumlaumu sana Makonda asubuhi hii hii katika Kipindi cha Clouds tv 360 Watangazaji Sam Sasali, Babie Kabae na Hassan Ngoma wametumia muda mwingi kuweza kupinga tukio zima huku wakitucheka sisi Watanzania ambao kiukweli tukio zima tumelipata ile ile juzi usiku na wakimtetea sana Mkuu wa Mkoa Makonda.

Pole sana Ruge Mutahaba najua umetishwa mno jana huku pia ukiogopa kupoteza MASLAHI yako na kibaya zaidi najua umekubali yaishe ILI tu Makonda asiliibue lile sakata lako ambalo nafahamu unalijua mno ambalo linakusaidia pia kukuweka hapa mjini.

Kwa kukusaidia tu tuna Watu wetu hapo hapo Mjengoni Kwako Clouds Media Group ambao wametupa UKWELI wote. Tunasubiri ufanye hiyo propaganda yako ili na sisi tusiopenda UNAFIKI wako / wenu TUFUNGUKE zaidi.
Hivi ukiwa peke yako huwa unawaza nini?
 
Intercontinental Ballistic Missals ndiyo nini mjuzi wa mambo na msomi uliyetukuka?

Spelling error hiyo Mkuu kwani naamini hata Wewe pia kuna siku zingine ukienda chooni huwa unakosea kulenga Shimo na unaachia Kimba linalonuka lako pembeni. Nilitaka kuandika neno Missile. Hebu nirekebishie basi hapo Mkuu huku Mwanamume nikiwa bado natiririka huku.
 
Katika hali ya kushangaza kabisa baada ya tukio zima la kutia aibu kama siyo pia la kusikitisha ambalo lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( siyo jina lake halisi ) juzi usiku katika Kituo cha tv cha Clouds muda mfupi ujao Bosi na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti Bwana Ruge Mutahaba anaenda kumtetea Makonda.

Kwa habari za Kiuchunguzi kabisa zinasema kwamba ni kweli tukio lilifanyika na hata Mabosi Wakuu wa Clouds Media Group Kusaga na Mutahaba walikasirishwa mno na Kiktendo kilichofanywa na Makonda lakini baada ya mmoja wao kuitwa na KUTISHWA na wenye Mamlaka na hii nchi hatimaye Ndugu Ruge Mutahaba amekubali KUUPINDISHA ukweli wote ambao kimsingi Watanzania wengi tumeuona.

Katika Interview ambayo Ruge Mutahaba anaenda kuifanya muda mfupi ujao tegemeeni haya yafuatayo:

  1. Anaenda kumtetea kwa nguvu zote Makonda huku akitumia muda mwingi kumsifia.
  2. Anaenda kusema tukio halikutokea Clouds bali lilitengenezwa tu.
  3. Anaenda kusema Makonda hana Uadui na Clouds Media Group.
  4. Anaenda kusema Makonda anafanya Kazi nzuri kwa Tanzania.
  5. Anaenda kumgeuka Mchungaji Gwajima kwa nguvu zake zote.
Ili kuonyesha kuwa Clouds Media Group WAMETISHWA kinyume na hali ambayo ilikuwepo jana asubuhi Ofisini Kwao ambapo karibia Wafanyakazi wote walihamaki na kumlaumu sana Makonda asubuhi hii hii katika Kipindi cha Clouds tv 360 Watangazaji Sam Sasali, Babie Kabae na Hassan Ngoma wametumia muda mwingi kuweza kupinga tukio zima huku wakitucheka sisi Watanzania ambao kiukweli tukio zima tumelipata ile ile juzi usiku na wakimtetea sana Mkuu wa Mkoa Makonda.

Pole sana Ruge Mutahaba najua umetishwa mno jana huku pia ukiogopa kupoteza MASLAHI yako na kibaya zaidi najua umekubali yaishe ILI tu Makonda asiliibue lile sakata lako ambalo nafahamu unalijua mno ambalo linakusaidia pia kukuweka hapa mjini.

Kwa kukusaidia tu tuna Watu wetu hapo hapo Mjengoni Kwako Clouds Media Group ambao wametupa UKWELI wote. Tunasubiri ufanye hiyo propaganda yako ili na sisi tusiopenda UNAFIKI wako / wenu TUFUNGUKE zaidi.
Baada ya kumsikiliza Ruge, je wewe mleta mada, unaona ulichoandika ni sawa?
 
Gentamycine, naona hajamtetea leo, au?
 
mkuu tutake radhi kwa huu uongo wako.
 
Hivi ukiwa peke yako huwa unawaza nini?

Ukiwa na AKILI ndogo na UPEO mdogo kamwe hutoweza kumwelewa GENTAMYCINE na kupitia huu huu UZI wangu nimefurahi kuweza kuwajua WAPUMBAVU. Najiona Mshindi sana na leo kwa aliyoyasema Ruge Mutahaba nimefurahi mno kwani sasa najua ni rasmi kuwa Mkuu wa Mkoa Paul Christian Makonda muda wowote kuanzia sasa anaenda KUTUMBULIWA kitu ambacho ndicho nimekuwa nikikipigania humu muda wote.
 
Hongera kwa Clouds kama nao hawatasikiliza ya mtandaoni. Clouds ni tishio kwa kazi nzuri wanayofanya ilivyo juu kupita kampuni zingine.

Na kupendwa kwa kipindi hicho na Rais pia ukaribu wa Rac nae kupenda kutumia.

Ndio imeleta haya ya kukuzwa. Inaonekana clouds kuna wafanyakazi wamechoka kazi, wachakachuliwe kwa kula hongo kuchafua kampuni hiyo.

Clip ya video inaonyesha utulivu, namba moja aliye kaa reception amekaa ametulia na Mh. Makonda kaingia kama walivyomzoea. Na ni kiongozi ulini muhimu sanaaaa kwake.

Nyie mnaokuza mambo ndio mjitafakari.

Ooh na vyeti feki navyo mlitengeneza bila kutumia akili,halafu eti nyie wasomi ha ha haaaaa

Makonda oyeeeeeee

Update: naona uzi umepewa u breaking news

Kwa lipi? Ili mtibue ya 360 au hamjui ya Malaika yamekuwepo tangu?

Update:

Ooh now tetesi...bora iwe hivyo as ni uongo mtupu huyu tunamjua zake ha ha haaaa
ukirudia soma hili wazo lako utaona aibu mwenyewe
 
Duuuh kama tanzania tumefikia kuishi kwa kujifurahisha hata kwa tusicho na ujakika nacho km mleta uzi hakika vijana tunazid kupotea,,kuanzia kiakili mpka kimwili
 
mkuu tutake radhi kwa huu uongo wako.

Nadhani Wewe na Wenzako wote mlipashwa KUNISHUKURU kwani bandiko langu limeweza kuyaondoa yale yote ambayo Ruge alipanga kuyasema ya kumbeba na kumtetea Makonda ila akabadili gia angani na akamchana mubashara Makonda kitu ambacho ndicho nilikuwa nakitaka ili iwe tiketi nzuri ya Makonda kufukuzwa Kazi rasmi.
 
kwani wewe ni muongo??????/ mbona hajamtetea RC kwa nguvu na kumkandamiza gwajima?? Inamaana ulilotoa hapa ni povu tuu
 
Amini maneno yangu Mkuu usipoteze muda wako kutegemea kusikia jipya kutoka kwa Ruge kwani kilichofanyika jana siku nzima dhidi yake tunakijua. Hawezi kummaliza Mkuu wa Mkoa Makonda wakati Kituo chake cha Clouds Media Group kinafaidika 100% Economically kwa kuwa Kwao tu karibu na Makonda na kwa kukusaidia tu Mkuu ni kwamba kuna Projects kadhaa ambazo Makonda anaenda kuzifanya na Clouds Media Group na ambazo zitawapatia Pesa nyingi sana Kampuni. Wafanyakazi karibia wote hapo wameshalishwa maneno ya Kipropaganda ili kuweza kumtetea Makonda kwa upamoja wao ili tu wamsaidie asiweze kutumbuliwa na Mteule wake kisha na wao maslahi yao yakawa shakani.
Angalia aibu inayokusuta kwa kuandika kwa hisia zako toka nyumban,,umesikia alichoongea ruge?? Daaah nchi yangu tanzania inaelekea wap sijui
 
Duuuh kama tanzania tumefikia kuishi kwa kujifurahisha hata kwa tusicho na ujakika nacho km mleta uzi hakika vijana tunazid kupotea,,kuanzia kiakili mpka kimwili

Nashukuru leo Uzi wangu kuweza kutembelewa na Watu wengi kama Wewe na najua mpaka siku ikiishia huu uzi wangu unaweza hata kutembelewa na Watu wote waliopo duniani. Karibuni sana katika uzi wa GENTAMYCINE na nafurahi kuona uzi ukitiririka.
 
Katika hali ya kushangaza kabisa baada ya tukio zima la kutia aibu kama siyo pia la kusikitisha ambalo lilifanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( siyo jina lake halisi ) juzi usiku katika Kituo cha tv cha Clouds muda mfupi ujao Bosi na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti Bwana Ruge Mutahaba anaenda kumtetea Makonda.

Kwa habari za Kiuchunguzi kabisa zinasema kwamba ni kweli tukio lilifanyika na hata Mabosi Wakuu wa Clouds Media Group Kusaga na Mutahaba walikasirishwa mno na Kiktendo kilichofanywa na Makonda lakini baada ya mmoja wao kuitwa na KUTISHWA na wenye Mamlaka na hii nchi hatimaye Ndugu Ruge Mutahaba amekubali KUUPINDISHA ukweli wote ambao kimsingi Watanzania wengi tumeuona.

Katika Interview ambayo Ruge Mutahaba anaenda kuifanya muda mfupi ujao tegemeeni haya yafuatayo:

  1. Anaenda kumtetea kwa nguvu zote Makonda huku akitumia muda mwingi kumsifia.
  2. Anaenda kusema tukio halikutokea Clouds bali lilitengenezwa tu.
  3. Anaenda kusema Makonda hana Uadui na Clouds Media Group.
  4. Anaenda kusema Makonda anafanya Kazi nzuri kwa Tanzania.
  5. Anaenda kumgeuka Mchungaji Gwajima kwa nguvu zake zote.
Ili kuonyesha kuwa Clouds Media Group WAMETISHWA kinyume na hali ambayo ilikuwepo jana asubuhi Ofisini Kwao ambapo karibia Wafanyakazi wote walihamaki na kumlaumu sana Makonda asubuhi hii hii katika Kipindi cha Clouds tv 360 Watangazaji Sam Sasali, Babie Kabae na Hassan Ngoma wametumia muda mwingi kuweza kupinga tukio zima huku wakitucheka sisi Watanzania ambao kiukweli tukio zima tumelipata ile ile juzi usiku na wakimtetea sana Mkuu wa Mkoa Makonda.

Pole sana Ruge Mutahaba najua umetishwa mno jana huku pia ukiogopa kupoteza MASLAHI yako na kibaya zaidi najua umekubali yaishe ILI tu Makonda asiliibue lile sakata lako ambalo nafahamu unalijua mno ambalo linakusaidia pia kukuweka hapa mjini.

Kwa kukusaidia tu tuna Watu wetu hapo hapo Mjengoni Kwako Clouds Media Group ambao wametupa UKWELI wote. Tunasubiri ufanye hiyo propaganda yako ili na sisi tusiopenda UNAFIKI wako / wenu TUFUNGUKE zaidi.
HAYA TUAMBIE LUGE KAMSIFIA BASHITE AU KAMPONDA?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom