Uzuri mmoja baada ya hayo mahojiano ataandika tena bandiko lingine tena kwa lugha ya kibeberu
Wamuulize pia ushahidi wa madai ya Secretary Pompeo kumpiga ban RC wetu kuingia Marekani. Ushahidi wa madai yale utatuweka huru kwani yalikuwa ni mazito.
Wacha masihara weweTuna Kabudi atatutafsiria
Safi!
Kuna takataka zinafikiri tunaiogopa sana USA.
Balozi hawekwi ndani...ila TZ ikitaka itamtembeza kwenye hostpitali aone na kuthibitisha...
Subirini 2200 chadema mkichukua madaraka ndio mtahoji hayo
Hii ni serikali ya hovyo sana tangu tupate uhuru, viongozi karibu wote utafikiri wametolewa kwenye shit hole
Hahahah.. Una hasira kweli!
Usifikiri USA ipo kama kamati kuu ya chadema
Atasema USA wamepiga simu wanatupongeza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona wewe hawajakua?
Mabeberu this time wanahaha
CIA ndio Baba akoHawajamuweka ndani? Wamuweke ndani mara moja kwa kosa la kuchapisha maudhui potofu. BTW wanafikiri Marekani wanakaa kizembe zembe na hawana details za kila kitu kinachoendelea Tanzania? Ni nini kazi ya CIA? Wanajua mpaka idadi ya vifo halisi vya korona japo walizika usiku kwa kujificha.
CIA wangekuwa kama unavyowapamba mataifa kama north Korea ,china,Iran na Cuba yasingekuwepi
All in all CIA ni watu
Hatuzungumzii CHADEMA wewe fisi.
Mkuu unajua maana ya Diplomatic Immunity?
Uko sahihi. Na kama hawaridhiki naye wanamuomba tu aondoke nchini lakini sio kumuweka ndani.
Unao undugu na 'Comical Ally' wa Saddam?Safi!
Kuna takataka zinafikiri tunaiogopa sana USA.
Ahahahahahahah! Unaomba ofa kiujanja! Njoo unywe K Vant! Ahahahahahahha!Naona leo umeingia zamu mapema
Hata wakija laki moja, wewe mkenya itakufaidi nini sasaUSA imewaambia raia zake...Si ninyi serikali mnaficha data....Mtakula hizo data sasa. Mtapata watalii chini ya laki moja kwa mwaka. Serikali ya Magufuli ya ovyo, ovyo kweli imejaa washamba, malimbukeni na wauaji. Mtalipa hayo yote mnayoyafanya.