Chariton003
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 333
- 905
Gharama zako zikoje?swala la dna. watu wa nitafute aisee. sina maneno mengi. ni kazi tu. I am a registered medical practitioner so uwakika
ππππ€£π€£π€£Mimi mwanamke akiniambia ana mimba hata kama hatujawahi fanya sex nalea tu wala siwazi.
Namtunza si unaona mwenzio anavyowewesekaπ€£πTunza mjomba huyo.
Dawa ipi? iyo ya kumpa huduma mwanao kwa siku 1 tena mpaka ukijiskiaKwa lipi sasa wakati dawa nimeishaipata
Namba yangu ni ile ile ya kutuma matumizi ya mimbaπNalea tu uwezo ukiwepo. Ndio sadaka zangu huwa natoa hivyo. Huwa sipeleki sadaka kanisani.
Kama una mimba nisingizie nitalea.
700k to 1 m. pesa sio issue kwangu ni quality of results. I personally follow up the results. so pesa unaweza lipa post results pia.Gharama zako zikoje?
Umeiona?Namba yangu ni ile ile ya kutuma matumizi ya mimbaπ
Nasubiri muhamala baba watoto
Nahisi mtandao unasumbuaπUmeiona?
Wacha we..MWANAUME PESA π°π°π°nguvu za kiume tutavumiliana π€£π700k to 1 m. pesa sio issue kwangu ni quality of results. I personally follow up the results. so pesa unaweza lipa post results pia.
πͺπ€£πUmeiona?
Utapeli sipendi, mbona nikijaribu ku reverse transaction naambiwa pesa imeshatolewa?Nahisi mtandao unasumbuaπ
Ohooooo πββοΈπββοΈπββοΈUtapeli sipendi, mbona nikijaribu ku reverse transaction naambiwa pesa imeshatolewa?
Jamanπ₯ΉUtapeli sipendi, mbona nikijaribu ku reverse transaction naambiwa pesa imeshatolewa?
Nimeipata jamanOhooooo πββοΈπββοΈπββοΈ
Darlin please confirm kupokea kwa muamalaπ€£π
Nina mimbaMimi mwanamke akiniambia ana mimba hata kama hatujawahi fanya sex nalea tu wala siwazi.
Tukuiteje sasa: ZOBA au DUME BWEGE?Mimi mwanamke akiniambia ana mimba hata kama hatujawahi fanya sex nalea tu wala siwazi.
The choice is yours, ita unachotaka.Tukuiteje sasa: ZOBA au DUME BWEGE?
Ngoja nakuja tuzungumze chakufanya.Nina mimba