Baada ya kutoka jela, Binti Kiziwi aolewa...

Baada ya kutoka jela, Binti Kiziwi aolewa...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mmh! Ila kuna watu wana bahati zao mjini, shostito kasota jela miaka 8 katoka Hata Mwaka hana watu washachukua jiko, khaa. Wenzangu na mie akina chakubimbi tutaishia kuroga na kuiba waume za watu kuolewa hatuolewi, mxieew

Na mie toka nianze ushirikina mwaka juzi natafuta ndoa sipati, naishia kua mpango wa kando. Huyu mganga wangu jaman looh , inabidi nimtafute mganga wa cheupe dawa sikubali na mimi .

Roho inaniuma hapa nimevunja sana nazi njia panda usiku wa manane, nimepigwa chale mpka makalion warumi mie , hata ndoa ya mkeka sina mxiew..

IMG_2049.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ama kweli Mji Mgumu huu hivi sasa!!

Kumbe Mpwa warumi finally ume-reveal jinsia yako baada ya miaka kadhaa enzi za JK kutoiweka wazi?!

Na upwa wenyewe siutaki tena, na kuanzia sasa mimi na wewe ni mabinamu! Umesikia?

Ahahah , binamu unanigeuka, Kwan jinsia yangu ulikua huijui, acha utan mpwa[emoji16]

Nimechoka kudanga, nataka kuolewa huu mwaka[emoji16]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ahahah , binamu unanigeuka, Kwan jinsia yangu ulikua huijui, acha utan mpwa[emoji16]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nishasema mimi na wewe habari za Mpwa zishakufa rasmi maana haiwezekani kumsalandia Mpwa... Mimi na wewe ni mabinamu, na kulana ni rukhusa!

Ila tuache masihara binamu, zamani jinsia yako ilikuwa ni researchable topic!!
 
Nimechoka kudanga, nataka kuolewa huu mwaka[emoji16]

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hayo sasa ndo mambo... Wacha kwanza nimuulize shangazi ikiwa inaswihi kuchukua binamu jumla, akisema ni haramu kwa sababu binamu ni nyama ya hamu tu basi huo uendawazimu wako wa kutaka kuolewa itabidi uuweke kando kwa muda... hadi tukulane kwanza vya kutosha ndo uanze hizo habari zako!
 
Siku hiz kila kitu ruksa , kazi kwako tu, ukichelewa wanaume wa JF watafanya yao, shaur zako[emoji3]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom