Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

Huyu jamaa ni mwanaume mwenzangu, lakini hili jamaa ni jinga sana. Sishangai ndoa yake kufikia hatua iliyofikia, anakabiliana na serious issue yeye analeta mchezo wa kuugiza. Ngoja siku aambiwe unahukumiwa jela miaka 30 pamoja na viboko 24, 12 wakati wa kuingia na 12 wakati wa kutoka wanyampara wakale mzigo mlaini mtoto wa mayai mayai ndipo atakapo kumbuka kwamba ni heri angejifanya mjinga kutafuta kila njia ya kidemocracy aweze kuongea na frola kuyamaliza.

Wanao sema frola ana roho mbaya, mimi nawaona wajinga tu. Embu mtu aje atembee na mke wangu nimbaini, hata kama anamwili kama the big show lazima nimfanyie kitu mbaya. Frola ni binadamu, hana roho ya chuma coz mapenzi yanaumiza.
 
Nahisi jamaaaa Jogoo hawiki sijui....I think there is something wrong
 
Pole Mbasha,hayo ni mapito tu!Mungu you upande wako Flora anschofanya ni mbaya sn anaharibu huduma yake,nani atamualika tena akaimbe kwa unyama anaomfanyia mwenzie.Pole Mbaya na ole wake Gwajima kama anahusika kweli
 
Hivi mtu ukiona simba anakula swala wako uliemwinda wewe mwenyewe tena kwa jasho lako.., unaona shida gani kutulia tuu mpaka amalize then ndo ukachukue nyama iliyobakia na wewe uendelee.., sasa badala yake eti mtu unaokota fimbo unataka kwenda kumfukuza unategemea nini.., si ni kwamba na wewe unataka kuliwa tu au..??! Kwani mtu huwezi kuwa mpole.., kwani ukiwa mpole utapungukiwa nini..??! si uwe mpole tuu..???!!!
 
Hili suala linahusu emotional na kila mtu ana kiwango chake, kwa mfano mimi hata nikikuta Simba ndio anakula swala wangu nitaondoka kimya kimya ntakaa sehem na kutafakali nini cha kufanya bila kumwambia mtu na nitayamaliza mwenyewe moyoni mwangu. lakini kwa mwingine anaweza kubeba panga na kupambana na simba na saa nyingine atataka hata kumuua swala wake, mwingine atapiga kelele kama nyumba yake inaungua.
 
Mimi siwaelewi au ndio mfumo dume wa kiafrika lkn huyu kaka kabaka na kesi bado inanguru mbona hamna huruma na mtoto ambaye amebakwa! Navyojua ni wanaume inavyofikiria kwa kutumia ... Inawezekana kabisa huyu kaka kambaka huyo mtoto na kujifanya victim.
 
Wewe ndo zaidi ya Hugo unayemsengenya, yaonesha wewe siku yakikukuta utaandamana uchi barabarani: kwanini unakuja kulalama humu JF badala ya kumwendea mwathirika na kumpa nasaha zako!!?. Hovyo kabisa.

Sasa we unaona ni sahihi mtu kulia lia hovyo huku huna uwezo wowote wa kupambana na simba..., kwanini hata usiende kuwinda swala mwingine tuu..??!
 
...and the question is: is this marriage irrevocable?

c.c. #lara1 #MCHUNGUZI HURU
 
Ohhh Jesus naomba Mungu aponye roho zenu haya mambo yanauma jamani na hakuna kitu kzr km busara upatwapo na matatizo hayaa siwez kusikiliza pande yyte maana hujui ukweli zaidi yao flora mama ni kioo hata kama ulichokaa ulipaswa mjibebe madhambi kimyaa sio public kiivi
 
Wakati mwingine simba anakamata na kula nyama yenye sumu na kujiona mjanja halafu baada ya muda kidogo anaanza kunyonyoka na kuharisha bila breki mpaka kufa.
 
Kama ameibwa na NJEMBA kwa ridhaa yake ulilie nini tena?, ila kama angeibwa na boko haram ningelia kwa kuhofia usalama wake.
 
watuuuu, kuibiwa mnakujua au mnakusikia, do woteva release u from pain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…