Baada ya kutoka jela, Emmanuel Mbasha azungumzia kuhusu Flora Mbasha

simba wengine wachovu wanapenda vya kunyonga tuu vya kuchinja hawezi

kama vpi akimbize swala wake amkamte ndo atajua ugumu na misukosuko yake....

anapenda vilivyoandaliwa afu tumuone mjanja haiwezekani
 
Ni ujinga kuacha aliwe na ni ujinga kukubali aliwe na ni ujinga yeye akiliwa
 
Issue yenu imeshakaa billboard mda sasa, ebu pisheni tupate ingizo jipya. Mh captain hakukaa sana, V. Catch nae aliongoza kwa mda then ninyi mkamchomoa na sasa issue yake imepotea, sasa na ninyi mtoe nafasi kwa wengine tafadhali!!
 
Kupenda kazi kweli. Yaani na vurugu zote jamaa analia kwamba anapenda sana mke wake. Wanaume wachache nafikiri wa design hiyo.
 

Jamaa si asamehe yote aendelee na maisha. Watu wengi ilishawatokea hiyo mwisho wa siku flora atujua na mungu wake...utasikia wanaharakati wanamtetea flora angekuwa mwanamke wangekuja juuu kama mvua.
 
Last edited by a moderator:
Hapa haitaongelewa haki sawa kwa kila MTU hehehehehe
 
Iili jamaa linadai alijawai kugonga kabda. kama nikweli ndiomana linamng'ang'ania mkewe naili nitatizo vijana wenzangu kujulia ukubwani.
 
Du sasa vipi kuhusu password. Ya bank si ilikuwa moja makubwa haya mapenzi ya kudanganyana hata mpendane vipi kwenye mpunga mwanagu mmh
 
joycekiria yuko wapi jamani...alikuwa anamtetea flora. Joyce usitetee kila jambo.
 
Last edited by a moderator:

Mtu mwenyewe mnayedai kabakwa ndo yule aliyekuwa anagegedwa na mrisho ngasa mpaka wakajirekodi!! Huyo wa kubakwa kweli au alitaka mwenyewe
 
Huyu jamaa ni BOYA, ngoja aendelee kiuteseka na kunyanyaswa na Flora. Kumbe inaonekana Flora ndiye aliyeanza kumpenda na kumu-aapproach. Sasa baada ya kuona hana dili tena, ameamua amtose mzima mzima. Yeye anachojua ni kwamba ANAMPENDA FLORA--utadhani kanyweshwa limbwata. Anaambiwa Flora kanunuliwa mchuma mpya na Gwajima lakini bado hashtuki, mbwiga sana--mwacche anendelee kuteseka mpaka Yesu atakaporudi. mpuuuuuuzi mkubwa!!
 
Kupenda kazi kweli. Yaani na vurugu zote jamaa analia kwamba anapenda sana mke wake. Wanaume wachache nafikiri wa design hiyo.

Sio analia kwa sababu anampenda tu bali Flora ni nguzo kuu ya uchumi ya familia ya Mbasha hicho ndicho kinamfanya uone mbasha anahangaika kumrejesha flora. Na Flora naye anaujua udhaifu wa Mbasha kwamba hawezi kuinuka bila ya yeye ndio maana ameenda kukomba vitu vyote vya nyumbani akiamini yeye ndiye aliyevitafuta.

Nafikiri hapa liwe somo kwetu sisi wote na sio tu kumhudhunikia mbasha au flora. Hapa wanaume kuna cha kujifunza si busara kutegemea kazi au kipaji cha hawa ndugu zetu, tuwasaidie kuvikuza vipaji vyao au kazi zao ziendelee vyema lakini kwa upande wetu uendelee na kazi yako au kipaji chako, hawa wanawake ni wasaidizi tu.

Katika hili ni vigumu sana kuanza kumtupia either mbasha au flora lawama, lazima kuna mambo mengi ndani yake yamejificha. Hii ndoa ilikuwa inaonekana nje nzuri sana lakini ndani kulikuwa na fukuto la muda mrefu sana. Ukiangalia ile interview ya sporah walivyokuwa wanahojiwa ulikuwa unaona kabisa kuna tatizo. Ukiangalia hiyo trend tatizo sio la jana wala la juzi ni la miaka si chini ya miaka mitano nyuma, moto ndio umewaka sasa
 

Ndg yangu mapenzi ndo yalivo.....ni uzuzu tu!lkn muonee huruma mwanaume mwenzio....mama ndo bread winner sasa anavyoupata huo "mkate"..... bakery ya Mchungaji...dah...inauuuumaaaaa!
 
Hii picha imejengwa tu kisanii ili Mbasha aozee Jela Mkewe atumike Kama kibuludisho kwa wenye nazo, mbasha nenda kaombe msaada kwenye Ofisi za USA watakusaidia kukulipia mwanasheria bomba angalau upiganie Penzi lako.

Hii kitu ipo kweli au unafurahisha baraza.......??mana km vp na mimi nikaombe msaada Bantu lady ananteda isivyo...anapenda wazeee wkt marijali tupo kibao JF!
 
Hivi huyu jamaa alikua King'asti au ni nini? Maana kwa m/ume wa kawaida huwezi kukubali unajua kabisa Mke wangu analala na flani na hakutaki tena halafu eti unaenda kwenye media unasema bado unampenda, hapo hakuna mapenzi ya kweli zaidi mtabaki yale mazoea tu.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…