umelewa au? naitwa sam natuheshimiane mr.. i wil never applause for ur dirty statement please behave
Aise inatisha sana..ila nmefuatilia wanasema hata mama yake alikuwa na hiyo tabia..inabidi tukioa tuchunguze vzr sanaHapa amewapa picha jinsi watu wanaojiita Walokole baadhi Yao walivyo na Vioja huku wakijidai waumini bora kumbe ni bora waumini.
Hata kama ni umario mkuu..ila huyu amezidisha..inakuwa kama ni vita mkuu..Si hela yake!! Yeye kaimba, huu ndo ubaya wa umariooo! Usipokuwa mtiifu
hao ndo walikua wanatetea wasikilize hyo ypu tube
uwoooo jamani wanawake sisi loooh
Nipo Apa,ivi Alibaka Au Hakubaka?
Hao ndo kondoo wa Bwana wa siku hizi!Dah huyo flora mbasha kawazidi..mbona anaroho mbaya sana..shida ni nini..
Hebu msikilize mume wa Flora Mbasha akielezea masikitiko yake kuhusu kukombewa kila kitu nyumbani kwake, Tabata! Flora hakumuachia hata nguo ya kubadilisha--kamuacha kama mtoto yatima au kama kinda la ndege lisilokuwa na msaada kutoka kokote!
INASIKITISHA! MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA - YouTube
Ima anapita katika kipindi kigumu sana katika maisha yake. Kupokonywa mke, kama haitoshi unapewa kesi ya ubakaji, haitoshi inabebewa kila kitu ndani, kama haitoshi wanaokuwekea dhamana wanaingia mitini! Duh. Unaweza kujinyonga hivi hivi.Aiseee hili swala gumu sn!
Pole sn Ndugu Emma! Mkabizi Mungu yote!
Ni kweli Mwanaume wa Ukweli Mwanamke akisepa unasaka mwingine maisha yanaendelea lakini cha Ajabu huyu Mbasha Kang'ang'ania Mke nampenda mke nampenda why? Mke kakubambikia Kesi,mke kaiba vyombo vya ndani vyote kasema,mke hajaja kukuona Gerezani, Mke kakudharau ! Eti bado Mbasha kakomalia anampenda Frola ! Hivi kweli frola akiludi kutakuwa na Mapenzi ya kweli?