Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

Mbowe ubilionea wake umetokea wapi?
 
Yupo chenge
 
Hivi Gwajima yule anayefufuaga wafu hawezi kuwa bilionea?
Maana nasikiaga eti sadaka za pale kwa ibada moja tu ni magunia ya hela bado makanisa yake mikoani na uuzwaji wa vitabu vyake pia au hizo hela anazipelekaga mbinguni?
Pesa zote huzipeleka kwa MUNGU alafu anabakiwa na chenchi,hizo ndio anazitumia.
 
Ukiongelea kuhusu kuharibu mashamba, picha inayonijia ni yule jambazi mpumbavu Sabaya,lazima alipwe sawa sawa na matendo yake
Aliyeharibu shamba la kisasa la Mbowe hakuwa Sabaya , yeye alikuwa anaitwa Byakanwa , baada ya hapo akapandishwa na kuwa RC wa Mtwara , Magufuli aliwapandisha vyeo wote waliovunja sheria ili kumfurahisha
 
Askofu Rashid [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Askofu Rashid ameanza mfungo?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Wakati namtaja Mbowe kama mmoja wa mabilionea duniani kuna makapuku wengi wa CCM walinipinga , sasa naona wengi mmekwishasoma alama za nyakati .

sasa mbowe ni billionea? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…